Napenda kula chabo
Me wala sitamani sema naona raha nikiweka ulinzi shirikishi

Kuna siku nilienda manzese kuna shosti yangu kwao karibu kuna gesti wee!! Kumbe naye mzee wa chabo wenyewe wanaita deo aiseee!!!
Akaniita njoo uone asalale ilikuwa hatari

Km moo zinapandana kumbe watu, kilichotuponza Rose alicheka jamaa alivyokua anasema, kidawa nitukane nikojoe
😂😂
 
Kvla vzuri na ushibe, yaani usijivunge kwenye kula, pia mazoezi mepesimepesi, epuka junk foods, moto utapekeka vzuri tu mkuu wangu.
Shukrani kwa maelekezo, unajua umri huu wa 78 huwa tunahisi hatustahili kufurahia maisha.

Ndiyo maana naweza kukaa mwaka Mzima nisiwe na hisia na Mwanamke, kumbe kuna Wazee wenzangu bado wanapeleka moto kama vijana.

Wacha nianze kufanya mazoezi ya kutembea umbali mrefu ili kujiweka fit
 
hakuna umri maalumu wa kufurahia maisha mkuu wangu, we jiachie, enjoy, have fun, mara moja moja nenda club, ruka majoka hata kwa swaga za kiold school poa tu, chakata mbususu tena tafuta ambaye mna 20+ age difference(bibi asijue lkn), na umwambia kabisa asiwe na wivu na bibi, we only live once mkuu.
 
Hahaha................ngoja nipate pension ya mwezi huu niende nikaruke majoka kama unavyoshauri.

Na kuanzia nitaenda Kidimbwi Beach 🤪
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom