Ipi ni 'sexual fantasy' yako?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka mahi, ila mie nina fantasy imenijia hivi karibuni, na bahati nzuri imenikuta niko tayari kwenye serious relationship,
Vinginevyo sijui ingekuajee, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Eenh ninong'oneze hiyo fantasy mpya niisikie na mieπŸ˜‚
 
Nakuelewa sana kipenzi, kiufupi haupo kwenye mindset ya BDSM, just a normal lady who likes to please her man,

Haya mambo tuachie sie makonkodi tuloshindikana na mitumeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi mbona sijamuona babe wangu Lamomy aje atoe shuhuda zake hapa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu uduguu sijui km ana fantasy, yeye buzzy kusaka maokoto
 
nje ni boss anaheshimika ila anapenda akiwa ndani umdhalilishe, umtume, umtukane, umwambie maneno mabaya, umpige apate maumivu, akitoka nje mkavuuuu vibaraka wake wanamsujudiaπŸ˜‚
This turns me on vibaya sana πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ awe mtu anaheshimika ila akija kwangu anakua nothing, namdegrade to the lowest level possible.
 
This turns me on vibaya sana πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚ awe mtu anaheshimika ila akija kwangu anakua nothing, namdegrade to the lowest level possible.
Ngoja nikitajie vijana wanaoheshimikaπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
mshamba_hachekwi Harmful dosho12

πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
 
Ngoja nikitajie vijana wanaoheshimikaπŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
mshamba_hachekwi Harmful dosho12

πŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈπŸƒπŸ½β€β™€οΈ
Sawa 😊 wajulishe wapite huko juu wasome replies za mwanzo from #6,041 sitaki kuulizwa maswali ambayo nimeshajibu 😎
 
Nakuelewa sana kipenzi, kiufupi haupo kwenye mindset ya BDSM, just a normal lady who likes to please her man,

Haya mambo tuachie sie makonkodi tuloshindikana na mitumeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi mbona sijamuona babe wangu Lamomy aje atoe shuhuda zake hapa
😹😹😹
Fantasy yangu wewe tujifungie ndani peke yetu tutoane cheche..!!
Tugusanishe viharage vya moto halafu tukate mauno turushane water πŸ’¦

Dr bhana mi fantasy zangu huwa zinakuja automatically nikiwa na pesa, yani hiyo siku nipige na shots zangu glass 2.. maji lazima aite mma..!!

Halafu mimi napenda wale wanaojifanya wajuaji na wabishi wanaojitapa β€œOohh nitakupelekea moto” basi moto wanaukuta huku huku wajiandae kuungua 😹😹😹
 
Mapenzi uchizi ndo huo sasa, huyo yeye anapenda kumilikiwa afinyangwe sawasawa akitoka hapo hoi kabaki na pumzi tu

Ni kama wale ambao tukiona kitu kizuri kinachovutia unatamani kingekuwa kinalika ukile ufaidi, mfano nina ujenzi kidogo sasa fundi alitengeneza kona nzuri sana ya ukuta, nilitamani ingekuwa keki niile walau niufaidi utamu wake
Ungemla fundi aliyetengeneza mahi 😹😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu uduguu sijui km ana fantasy, yeye buzzy kusaka maokoto
Ulijuaje? Wakinga na pesa 😹😹😹

Sasa hivi fantasy yangu ku-date na kibabu kitata na kijuaji Kama Kiranga nikikalie nikiendeshe kama baby walker πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈπŸƒβ€β™€οΈβ€βž‘οΈ
 
Nakuja huko nikupe utakacho, halafu ukahadithie wenzako kama mimi m babu m babe au mbabe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haliki hata kwa chumvi, hujawahi kuona hata pochi nzuri au nguo mtandaoni ukatamani uipate uitafune,, ndo huyo sasa wa kufinyangwa kama marehemu,,
😹😹😹😹 Kwahiyo fundi haliki kwa chumvi? Nimecheka sana’a

Mimi nna ako katabia naweza nikakipenda kitu sana!! Nitakipigania mpaka nikipate halafu nikikipata nakichukia nachoma moto au nakigawa..!!
 
Back
Top Bottom