Ipi ni 'sexual fantasy' yako?
Hutaki wapole uwamanipulate? Hawa kina kiranga mi siwezi unabaki kunywea tu kama majani ya maboga🤦🏽‍♀️
Kuna utofauti wa upole na ukimya? Ktk utata, ubabe, ujuaji, awe na ukimya ndani yake.
 
Hii pride ilinikuta wakati fulanii, 😂😂😂😂😂
Mie sikumlamba block, nilimchana kavu kavu.

Nilimuambia "yaani mie kupambana na msuli wa PCM advance, chuo kupambana na Engineering afu leo uje unigalagaze wee wa Accounts? Engineers wameisha Duniani hapa? Em huko bhana wee nipotezee"

Na hapo tulikua tushachombezana sana video call, voice chat, etc.
Siku ya kwenda kujunjana ile enyewe, akili ikasanukaaa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😹😹😹😹
Wewe sasa udugu tuko same boat

Kuna mtu nilimkataa yeye mwenyewe alijishangaa nimemkataa vipi na status aliyokua nayo!!

Yani mimi mwanaume ambaye anapita bila kupingwa sijawahi kumuelewa, mwanaume lazima upambane.
Halafu napenda anizidi kila kitu 😹😹
 
Ewaaaa!!! Hapa tunaenda ulalo ulalo.
Yaani mwanaume wangu anizidi kila kitu. Hii ndio principle yangu.
😂😂😂😂😂😂
 
Hii ni nzuri sana! Naona saa nyingine ni heri kuwa mbinafsi tu kuliko kuendekeza kupenda watu umekutana nao duniani😅
😹😹😹 Hii tabia nzuri inapunguza dharau kwa wanaume..!!
 
Ewaaaa!!! Hapa tunaenda ulalo ulalo.
Yaani mwanaume wangu anizidi kila kitu. Hii ndio principle yangu.
😂😂😂😂😂😂
Unakuwa na mbabu kama kiranga hakuna asichojua chini ya jua. Hata ukimpa chuchu anajua kulinyonya vipi utoe miguno 😹😹
Ukikata kiuno anajua akuweke mkao upi moto uwake na elimu unaongezewa free awww 🥰😍😍

Babu Kiranga njoo nakusubiri unitafune mpaka mifupa 😹🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️🏃‍♀️‍➡️
 
Usisahau trip ya kwenda kututua NY, hakikisha anavyorudi kwa Sope wa kizungu tunatembea nae woteee.
😂😂😂😂😂😂😂
 
Hahahaaa hapa lazima aje kwakweli unajua kutaka watu wenye pawa😂
 
😹😹😹 Au mwanaume 24/7 yeye anaongelea siku ukimpa kei atakachokufanya..!!
Watu Kama hawa kwanza wana mchango mdogo kwa taifa, siwezi kabisa kumtilia maanani namuona maisha yamempiga mpk kwenye ubongo..!!
Nilishawahi kutana na wa hivi nikasema leo nikajionee maajabu ya dunia! Hmm hmm ana kitunguu mwanangu🤦🏽‍♀️
 
Usisahau trip ya kwenda kututua NY, hakikisha anavyorudi kwa Sope wa kizungu tunatembea nae woteee.
😂😂😂😂😂😂😂
😹😹😹 Nimeona huyo rafiki yake tajiri wa mafuta hanipi bora tumalizane na yeye mwenyewe..!!

Uduguu kiranga wako mi nachangamsha kijiwe, napenda tu kumtania kiranga mzee wa NYC
 
😂😂😂😂😂😂😂 naelewaa mahi, full kutoa heka heka ndani ya JF.
nimemic shengesha za Selfikaa. Woiiiih
 
Back
Top Bottom