Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

Mjadala: Ipi ni Sexual Fantasy yako?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hii tuko sambamba, ndio taste yangu haswaa, yaani napendaga wale wabishi, wajuaji, watata,
Najiona km niko paradise. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hutaki wapole uwamanipulate? Hawa kina kiranga mi siwezi unabaki kunywea tu kama majani ya maboga๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
 
Njoo bonyokwa huku wakaka tunawanywa km soda tukimaliza tunatupa chupa na teke ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mimi naweza nikampenda mtu vizuri lakini hiyo mtu kunivua nguo zangu atasubiri sana..!! Tena akiniambia njoo sijui tufanye hivi aiseee siendi na siku hiyo hiyo penzi linakufa. Hii kitu kuna siku nitaiandikia uzi nijue km wapo wenye hili tatizo au ni mimi tu..!!

Kuna mwanaume nilikuwa nampenda vizuri. Tunataniana kimahaba vizuri tu.!!
Siku moja aliniambia tukutane sehemu moja katikati ya jiji kwenye hotel moja hivi.

Nilifurahi hiyo siku nikajiandaa, huwezi amini nikafanya shopping ya nguo, viatu na accessories kabisa. Na zawadi nikambebea. Nakumbuka nilimnunulia iPhone 14 Pro Max (Hapa kwanza ncheke) sijui nini kilitokea. Nikaita msusi anisuke home. Nikapendeza balaa!! Nilitaka kumvuruga babe.

Sasa si unajua wanawake na vioo.
Nikarudi tena cha mwisho mwisho nijiangalie nikajiona kwa namna nyingine.

Hivi huu Uzuri na urembo wote nikampe yule tumbili anisalaule, anichungulie na kunibinua binua then what??
Nikaona huku ni kujikosea heshima mwenyewe. SIWEZI

Nikavua nguo na makorokoro yote. Simu nikampa kijana wangu wa dukani ambaye nikisafiri anasimamia biashara zangu.
Picha likaishia hapo na yule bwana nikamlamba block. ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hii pride ilinikuta wakati fulanii, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mie sikumlamba block, nilimchana kavu kavu.

Nilimuambia "yaani mie kupambana na msuli wa PCM advance, chuo kupambana na Engineering afu leo uje unigalagaze wee wa Accounts? Engineers wameisha Duniani hapa? Em huko bhana wee nipotezee"

Na hapo tulikua tushachombezana sana video call, voice chat, etc.
Siku ya kwenda kujunjana ile enyewe, akili ikasanukaaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani mpaka sasa sijaelewa kwanini uliwaza hivyo? Ni either sio type yako au? Ni mpenzi ulonaye kabisa au ni mtu mlclick tu๐Ÿ˜† maswali ni mengi lamo tell us more๐Ÿซข au hukumpenda vzr au haukuwa naye pekee yake๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ Lamo unanivuruga๐Ÿ™†๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ

Anyways; Hao wanume wa bonyokwa baki nao tu๐Ÿ˜‚
Nahisi mimi ni mbinafsi najipenda mwenyewe..!!
 
Hii pride ilinikuta wakati fulanii, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mie sikumlamba block, nilimchana kavu kavu.

Nilimuambia "yaani mie kupambana na msuli wa PCM advance, chuo kupambana na Engineering afu leo uje unigalagaze wee wa Accounts? Engineers wameisha Duniani hapa? Em huko bhana wee nipotezee"

Na hapo tulikua tushachombezana sana video call, voice chat, etc.
Siku ya kwenda kujunjana ile enyewe, akili ikasanukaaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unadharau sana coca๐Ÿฅฒ
 
Hutaki wapole uwamanipulate? Hawa kina kiranga mi siwezi unabaki kunywea tu kama majani ya maboga๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™€๏ธ
Kuna utofauti wa upole na ukimya? Ktk utata, ubabe, ujuaji, awe na ukimya ndani yake.
 
Hii pride ilinikuta wakati fulanii, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mie sikumlamba block, nilimchana kavu kavu.

Nilimuambia "yaani mie kupambana na msuli wa PCM advance, chuo kupambana na Engineering afu leo uje unigalagaze wee wa Accounts? Engineers wameisha Duniani hapa? Em huko bhana wee nipotezee"

Na hapo tulikua tushachombezana sana video call, voice chat, etc.
Siku ya kwenda kujunjana ile enyewe, akili ikasanukaaa.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe sasa udugu tuko same boat

Kuna mtu nilimkataa yeye mwenyewe alijishangaa nimemkataa vipi na status aliyokua nayo!!

Yani mimi mwanaume ambaye anapita bila kupingwa sijawahi kumuelewa, mwanaume lazima upambane.
Halafu napenda anizidi kila kitu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Ewaaaa!!! Hapa tunaenda ulalo ulalo.
Yaani mwanaume wangu anizidi kila kitu. Hii ndio principle yangu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii ni nzuri sana! Naona saa nyingine ni heri kuwa mbinafsi tu kuliko kuendekeza kupenda watu umekutana nao duniani๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hii tabia nzuri inapunguza dharau kwa wanaume..!!
 
Ewaaaa!!! Hapa tunaenda ulalo ulalo.
Yaani mwanaume wangu anizidi kila kitu. Hii ndio principle yangu.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unakuwa na mbabu kama kiranga hakuna asichojua chini ya jua. Hata ukimpa chuchu anajua kulinyonya vipi utoe miguno ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ukikata kiuno anajua akuweke mkao upi moto uwake na elimu unaongezewa free awww ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Babu Kiranga njoo nakusubiri unitafune mpaka mifupa ๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ
 
Usisahau trip ya kwenda kututua NY, hakikisha anavyorudi kwa Sope wa kizungu tunatembea nae woteee.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unakuwa na mbabu kama kiranga hakuna asichojua chini ya jua. Hata ukimpa chuchu anajua kulinyonya vipi utoe miguno ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ukikata kiuno anajua akuweke mkao upi moto uwake na elimu unaongezewa free awww ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Babu Kiranga njoo nakusubiri unitafune mpaka mifupa ๐Ÿ˜น๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ
Hahahaaa hapa lazima aje kwakweli unajua kutaka watu wenye pawa๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom