CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kuna sumu kali ni balaaa, watu wamejivua magamba ya #teambazazi na kujivika ngozi ya #teamrafiki , chakushangaza sumu waliyo nayo ni ile ile.
Mmedanganywa na nini? charminglady, Lady niece, Passion Lady, Honey Faith, tinna cute, Heaven on Earth, miss neddy, Munkari, na wengineo.
usiku mwema nawe likungulyabhakoli! ubhakeli ka!
special for you rafiki
nimekuuliza swali.. usiongee vitu kwa kusikia.. sawa?
we si umenifaham juzi tu? sasa experience yangu umeijulia wapi?
na isitoshe kila kona yako niko
hata hapo ulikokaa mm niko nyuma yako
hao utawajua kwa matendo yao na PM yao wamejivika ngozi ya kondooKuna sumu kali ni balaaa, watu wamejivua magamba ya #teambazazi na kujivika ngozi ya #teamrafiki , chakushangaza sumu waliyo nayo ni ile ile.
Mmedanganywa na nini? charminglady, Lady niece, Passion Lady, Honey Faith, tinna cute, Heaven on Earth, miss neddy, Munkari, na wengineo.
Bhahoyire.... Yeke waraye mura omweito???
aisee...! mwishowe utasema upo mpaka kwenye nanii! lol!
siku ya mwisho tutasikia mengi!
Siku za mwisho kwa kweli tuangalie
tusijee teketea kwenda motoni x2
Duniani kuna dhiki kuu wateule jipeni
moyo kwani mmeushinda ulimwengux2
Na wewendugu usirudi nyuma songa mbele
usilegelege wala kuwasikliliza wana jf?
aashe nalee rafiki!!
asante yako nakutumia kwny buzz!!
swaumu gani hiyo mpk saa mbili usiku??
Unamaanisha kwaresma au?
​mama yangu!! Excel ya kweli haya!!Mwenyekiti wa #TeamBazaaz i.e Excel.
ondoa shaka nitamwambia shem wako Mndengereko akupe nafasi uipendayo
​usijali!!Nasubiri kwa hamu , yaani hapa hadi jino la 32 linaonekana
Si unajua tena hatoki mtu hapa
Pole kwa swaumu​usijali!!
​asante sana shemeji yangu!!haya shirikianeni basi na Passion Lady kwenye swala la utunzaji fedha ingawaje sisi chama chetu tunakiendesha kindugu na krafiki zaidi....
wewe waonaje mamii?
nina sifa za kuwa hivyo?
​athanteeeee!!Pole kwa swaumu