Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Guys,why don't you give Zitto a break!!!!!!,this Zitto issue imekuwa too much sasa,kila kukicha Zitto Zitto aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh,inaboa sasa!!
zito mwenyewe keshakula pesa za RA anamuunga rashidi arudi tanesco na machine za Dowans.Ni mtu tena huyo? HABARI ZAKE ZINANITIA KICHEFUCHEFU HATA MIMI
 
Mwenyekiti Mbowe , Slaa , Mtei , Kitila ,Masinde na wale wote wenye nia njema na Chadema tafadhalini sana nawaomba mjiangalie na muitane muelezane ukweli . Things are getting out of hands. Kuna habari nyingi sasa zime enea ikiwa ni pamoja Zitto kusakamwa kila kona .Waandishi wengi wa JF ni watu wa Chadema ambao ama wanawatumikia Mafisadi ama hawajui Siasa za Tanzania . Kutumia magazeti kuchafuana hakusaidii Chama ila unakizamisha Chama . Nina waandikia na kuwapausulia ukweli kwa mail zenu na tunataka Chadema yenye heshima mkubali kutofautiana lakini mfanye kazi pamoja .Ninao ukweli wote sasa na sitausema hapa nitawapia kwenye mails zetu wote .

Yes Zitto anataka kujiondoa kwenye uongozi wa Chadema na kubakia mwananchama na si kuondoka Chadema . Huu ni ukweli ma Mwanchi wameandika habari ni za ukweli . Ninathibitisha hili .
 
- Ukitaka kuharibu Demokrasia ndani ya chama cha siasa basi kazania kuita mapungufu ya uongozi wa chama cha hicho siasa kuwa ni siri za chama, wakati wewe huyo huyo hulali kutoboa mapungufu ya vyama vingine vya siasa,

- Chadema mjifunze maana ya damage control, na kama chama unaaanza kwa kutoa siri mwenyewe lakini in a very smart political way kwamba unakuwa kama hutoi, lakini kumbe unatoa ili ku-dilute nguvu ya mapungufu ya chama ambayo unakuwa umesha conclude with facts at hand through your intelligence means kwamba huna jinsi ni lazima hayo mapungufu ambayo sometimes we call it "siri za chama" yataishia kutoka to the public anyways kama ilivyo situation yenu sasa, it is only a matter of time yote yatakuwa nje!

- Chadema mnalichezea sana suala la huyu kijana Zitto, mnatakiwa kukaa chini na kupitia all the facts za what Zitto knows, and did katika muda wote aliokuwa na nyinyi kama chama cha siasa, kama anajua mengi machafu kuhusu chama then you make a deal na yeye Zitto, giving him what he wants kama anajua mengi na giving him nothing kama hajui mengi na ikibidi boot him out! Lakini kama anajua mengi sana kama dalili zinavyoonyesha so far, basi mnachezea moto ambao very soon utawaunguza vibaya sana,

- Kaeni chini na Zitto mmalize tofauti zenu, ama sivyo you will soon come to the realizations tena in hard way kwamba Zitto is an-important link ya kukua kwenu kisasa au kuporomoka chini, wangu ni ushauri wa bure tu! maana ninawasomeni sana mnavyojaribu kuliweka hili tatizo la Zitto under the rug lakini mnakwama sana na this ishu is not going anywhere soon!

- By the way, Komu ni nani huko Chadema? Can somebody answer me please!

Respect.

FMEs!
 
Notwithstanding ----------; ES hujawahi kunikuna kama hiyo advise uliyoitoa. Please!! Hii ni advise bab kubwa since zama zako za BCS Times
 
Kuna watu wamevamia Chama . Kuna vijana nadhani wana mtizamo tofauti which is good ila kuwekeza visasi na kuweke mitego kummaliza Zitto hakutasaidia Chama hata siku moja . Tufike mahali we all come to our sense . Hakuna aliye mkamilifu lakini nadhani tuwe wakweli na kusema sorry ni jambo la kawaida kwenye watu wengi kama Chadema .Kama kuna kiongozi ndani ya Chadema yeye ni agent wa mafisadi na ameamua kuondoa matumaini ya Watanzania kuona Nchi yao inapata mwelekeo kwa michango kama ya akina Zitoo basi ajue hana nafasi .It is Time Ama Mbowe useme no na uunganishe Chama ama Chadema ife kwa sababu ya kuacha kuwakemea na hata kukataa kuweka makundi ndani ya Chadema .
 
Whats new mtu kuondoka kwenye chama chochote, wengi mbona wamefanya hivyo katika historia ya vyama vya siasa ulimwenguni. Mwacheni huyo kijana kuchagua tack ya maisha yake mwenyewe, msimlazimishe njia mnayotaka nyie!!
 
Nadhani hujaelewa watu wanasema nini ama wewe ni mmoja wao.Watu hawataki kuona ujinga wa aina hii .Wamechoswa na wataka Upinzan i imara .Kwa kuhama hama watu hatuwezi kuendelea tutawakatisha watu tamaa na kusikilizia migogoro badala ya kuhudumia taifa ni ujinga na kuwapa CCM nguvu . Wacha wanao jua nini maana watoe ushauri huu wako tumeukataa .Hakuna ambaye anamzuia lakini tunataka kujenga kitu cha maaana lazima kukaa pamoja na si haya yako hapo juu .
 
You're right Lunyungu,
Watu kwenye vyama vyote, tawala au upinzani lazima wavumiliane na waheshimu wananchama wao na kuvutia wananchi mambo binafsi wekeni kando. Chama, TAIFA: Charisma and devotion to the motherland and the people of the Land. Muigeni JKN, ameondoka duniani akipendwa, hata huko aliko I am sure he is in heaven! We need charismatic and devoted learders of have strong sense of mindset!
 
Kuna watu wamevamia Chama . Kuna vijana nadhani wana mtizamo tofauti which is good ila kuwekeza visasi na kuweke mitego kummaliza Zitto hakutasaidia Chama hata siku moja . Tufike mahali we all come to our sense . Hakuna aliye mkamilifu lakini nadhani tuwe wakweli na kusema sorry ni jambo la kawaida kwenye watu wengi kama Chadema .Kama kuna kiongozi ndani ya Chadema yeye ni agent wa mafisadi na ameamua kuondoa matumaini ya Watanzania kuona Nchi yao inapata mwelekeo kwa michango kama ya akina Zitoo basi ajue hana nafasi .It is Time Ama Mbowe useme no na uunganishe Chama ama Chadema ife kwa sababu ya kuacha kuwakemea na hata kukataa kuweka makundi ndani ya Chadema .

Sawa kabisa mkubwa.
Mimi binafsi ninavyoona Zito alikubali kumaliza tofauti ,lakini wazee haikuwatosha hiyo ndio maana wanaendeleza libeneke.
 
mkuu nimesoma mambo haya kupitia gazeti la leo mwananchi kama ndio hivi hawa wakina zitto wanatuhuzunisha sana katika siasa za tanzania na pia kama ni kweli basi aje yeye mwenyewe zitto hapa na kusema madai haya.. Maana mambo kama haya sisi kama wadau tunahuzunishwa sana
1.mwalimu j k nyerere aliwahi kusema kuwa chama cha kweli cha upinzani kitatoka ccm,yaani pale itakapomeguka.na hili ndilo linalokuja....
2.pima uone nccr ilipoanzishwa akina marando na wenzie,alipojiunga mrema nccr ikadorora mpaka leo na akina marando wakasepa
3.mrema alipomaliza kazi ya pale nccr akaenda kudororesha tlp sasahivi na chenyewe hoi
4.muulize mrema wapi na lini alrudisha kadi ya ccm kama utajibiwa
zito nae ni walewale tu
 
Msismzingizie Mrema wa bure. Ni sisi watanzania ndio akili zetu zimedata,
 
Huu ni wakati muhimu sana kwa Chadema, nyakati zinaruhusu kujenga upinzani imara dhidi ya CCM, naamini japo 2010 bado CCM itashinda, kwa muelekeo wa wananchi kwa sasa na CCM kama chama,mwaka 2015 ulikuwa ni wakati wa kuiweka CCM pembeni kama wapinzani wakijipanga vizuri.

Chadema kwa sasa ndio chama tegemeo wa wananchi, na hili kuendelea kujenga imani ya wananchi kwa Chama,ukomavu wa viongozi na chama katika kutatua matatizo yanayojitokeza ni kigezo muhimu kuelekea kwenye kuaminiwa kushika dola, Chadema yapaswa ifahamu kuwa ilipofikia sasa,NCCR ya Mrema ilipafikia kabla na kuzidi, sasa yapaswa iende mbele zaidi,..kutatua matatizo yake ya ndani bila ugomvi, akina Mrema walivyokuwa wanafukuzana labda hawakujua kuwa na wananchi nao wanavunjika imani kwao,haitakuwa tofauti kwa Chadema.

Mbowe, Zitto na watu wote makini wenye uwezo wa kujenga mtandao imara wa chama wanahitajika, kumbuka operation Sangara ilikijenga sana Chadema,na msingi wa mvuto wa operation ile tupende tusipende ilikuwa ni kufukuzwa kwa Zitto bungeni na ghafla Zitto akawa shujaa.

Yawezekana kweli Zitto ana makosa, yawezekana kweli ni mbinafsi,yawezekana kuna watu ndani ya Chadema wana chuki binafsi...,lakini vyovyote ilivyo....fahamuni Watanzania kwa sasa wana options mbili tu Chadema na Wapiganaji(ambao ni CCM walewale katika namna nyingine),hii sintofahamu iliyoigubika Chadema inazidi kukiua chama na kuijenga CCM, kaeni kama watu wazima myamalize haya mambo.

Kufanya maamuzi ya jazba hakutasaidia,ndio maana bado naamini haukuwa wakati muafaka kuwafukuza kina Kafulila,na hakukuwa na ulazima wa kuzuia ushindi wa Baraza la Vijana sababu tu Kafulila ameshinda,tukikubali utamaduni kama huu tutakuwa hatulisaidii taifa letu, na kauli za Dk Slaa wakati wa kumtimua Kafulila hazikupaswa kutolewa na hazikuwa na ulazima wa kutolewa ata kama ndio Dk Slaa anavyokuwa akimuona Kafulila, tufahamu kuwa ili kukamata dola Chadema inapaswa kila mwanachama ajione ni sehemu ya movement katika kuikomboa nchi,na kuwa mchango wa kila mmoja ni muhimu kwa chama na unaheshimiwa sana na Chama chao, na viongozi kwa kauli na vitendo waoneshe hivyo, kitendo cha kusema baadhi ya wanachama ni sisimizi ni cha aibu kwa chama na matabaka hayawezi kikijenga chama cha upinzani,wacha CCM wayafanye kwa sababu wameshafika kwenye utawala, lakini kwa Chadema kufanya hivyo ni kujitangazia kifo kabla ya wakati.
 
1.mwalimu j k nyerere aliwahi kusema kuwa chama cha kweli cha upinzani kitatoka ccm,yaani pale itakapomeguka.na hili ndilo linalokuja....
2.pima uone nccr ilipoanzishwa akina marando na wenzie,alipojiunga mrema nccr ikadorora mpaka leo na akina marando wakasepa.
3.mrema alipomaliza kazi ya pale nccr akaenda kudororesha tlp sasahivi na chenyewe hoi
4.muulize mrema wapi na lini alrudisha kadi ya ccm kama utajibiwa
zito nae ni walewale tu

Hivi kumbe kabla ya Mrema kujiunga na NCCR na TLP vilikuwa ni vyama tishio kwa CCM...., naomba ufafanuzi? nijuavyo mie NSSR kilikuwa ni Chama dhaifu sana kilichokuwa hakina ata uwezo wa kushinda jimbo moja la ubunge, na umaarufu wa NSSR 1995 mpaka kuwa chama tishio kwa CCM uliletwa na Mrema, na leadership failure baada ya 1995 ndiyo iliyokiua NCCR na kisha Mrema mwenyewe baadae.
 
Nimekuwa nikionesha mashaka yangu kwa baadhi ya waandishi wa habari wa Tz, hakuna kikubwa wanachojishughulisha nacho zaidi ya tetesi ambaoz hawafanyi uchunguzi wa kina. Habari hii ya Mwananchi nadhani ina mkono wa kifisadi
 
Tatizo ni vyombo vya habari Tanzania ndio wanayakuza mambo haya kila siku

....VIPI ANAYELETA THREAD MPYA HAPA JF WAKATI TAYARI IPO THREAD YENYE ALMOST THE SAME CONTENT.
Tukianza kubadilika hapa JF na magazeti yatabadilika kwa sababu baadhi ya members hapa ni waandishi wa habari(sina uhakika sana)kutoka ktk vyombo vya habari ambavyo viliheshimika sana lakini .....ohi
 
Upupu.

Ubatizo wa Mwinyi Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu ulikuwa sahihi kabisa. Kila habari Bongo ni muhimu.

Kila mtu anataka umaaarufu wake kwanza, nchi baadaye.

Chadema wanataka umaarufu, Mh Zito anataka umaarufu, gazeti la Mwananchi wanataka umaarufu. CCM, Mafisadi, kila mtu, kila kona.

Kama ni uongo, Mh Zito na akanushe. Ana haki ya kukaa kimya. Lakini, maaadam yeye ni kiongozi wa umma, na bado hajapoteza nafasi hiyo, ana wajibu wa kutuondoa dukuduku ili tuzame na ukombozi wa nchi, tuachane na "simple minds".

Let's get rid of the background noise.

Nchi inapita kwenye msukosuko mkubwa. Wakati tunahangaika japo kupata mwelekeo na mustakabali wa "inji", wanazuka watu na vijimambo vyao kuingilia "for cheap publicity".

Enough with the "Me First Politics"
 
Asema CHADEMA ipo tayari kwa uamuzi wowote
na Tamali Vullu = Tanzania Daima

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kipo tayari kupokea maamuzi yoyote yatakayotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe, ya kuamua kujiuzulu nyadhifa zote katika chama hicho ama la.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, siku moja baada ya Zitto kukaririwa na vyombo vya habari jana kuwa amekuwa akiandaa barua ya kujiuzulu nyadhifa zote ndani ya chama hicho, ikiwamo na ya ubunge. Zitto pia alituma nakala ya maelezo hayo kwa gazeti hili.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, Dk. Slaa alisema tangu Zitto aanze kunukuliwa katika baadhi ya vyombo vya habari kuwa anamuunga mkono aliyekuwa Ofisa Habari wa chama hicho, David Kafulula, amekuwa kimya licha ya kumtumia barua pepe kutaka kufahamu ukweli juu ya suala hilo.
“Zilipotolewa taarifa hizo kwenye vyombo vya habari mama yake Zitto, Shida Salum, alieleza kuwa mwanawe hausiki kwa kuwa e-mail yake imekuwa ikiingiliwa na watu na kutuma ujumbe huo,” alisema.
Mama huyo pia aliwasilisha madai hayo katika kamati kuu iliyokutana Desemba 2 na kwamba kutokana na hali hiyo alilazimika kumtumia taarifa kwa barua pepe (e-mail) Zitto ili ampe ukweli wa suala hilo, lakini tangu wakati huo amekuwa kimya.
“Baada ya kutolewa kwa madai hayo na kuwasilishwa katika kamati kuu, Desemba 2, nilimtumia e-mail Zitto, lakini mpaka leo (jana) hajanijibu,” alisema Dk. Slaa.
Alisema kutokana na hali hiyo, ameanza kupata wasiwasi kuwa huenda mama huyo anadanganywa na mtoto wake huyo (Zitto).
Hata hivyo, alisema asipopata majibu kutoka kwa Zitto atajua kuwa maelezo hayo yana ukweli na kusema kwamba CHADEMA ni taasisi, haitayumba kwa kuondoka kwa mtu yeyote.
“Wakati ule aliondoka Kabourou (Amani Walid Kabourou) na CHADEMA imeendelea kuwapo…anaweza kuondoka Freeman Mbowe na Dk. Slaa, lakini CHADEMA itabaki,” alisema.
Aidha, alisema suala hilo linakuzwa ili chama hicho kiachane na ajenda ya kupigania ufisadi nchini na kujikita katika mizozo ya aina hiyo.
“CHADEMA haitaacha kupiga vita ufisadi na ndiyo maana hivi karibuni tumetoa tamko la kuitaka serikali ijibu hoja kuhusu ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) kuichafua Tanzania kuhusu kupeleka silaha kwa kundi la waaasi katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),” alisema Dk. Slaa.
Jana, Zitto alikaririwa na gazeti moja (si Tanzania Daima) kupita barua pepe akieleza kuchukizwa na siasa chafu zinazoendelea ndani ya chama hicho na kwamba yupo tayari kujivua nyadhifa zote ndani ya chama hicho ikiwamo ubunge.
Mbunge huyo kijana, alikaririwa akieleza kuwa uamuzi wa kumfukuza Kafulila haukuwa wa haki na kwamba ataendelea kumuunga mkono kama atagombea ubunge katika Jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya NCCR - Mageuzi na si mgombea wa CHADEMA.
Hivi karibuni, chama hicho kilimtimua Kafulila na Danda Juju, ambao walikuwa wapambe wakuu wa Zitto katika uchaguzi mkuu wa chama hicho, akiwania nafasi ya uenyekiti wa taifa kabla ya kuamua kujitoa badaa ya vikao mbalimbali vya wazee wa chama hicho vilivyomsihi asigombee ili kutokigawa chama katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu mwakani.
 
Jamani nimeona article inayosema Zitto yuko mbioni kujiuzulu Chadema katika Mwananchi! Cha kushangazwa article hiyo wameitoa ghafla! Sasa najiuliza kulikoni?

Mwananchi hawezi kuandikia mambo kama hayo kama hakuna ukweli wowote, Zitto kawasiana nao kwa njia na Simu na Email na kufafanua yafuatayo:-

a) Amechoka na siasa na fitna ataamua mambo magumu juu ya maisha yake hivi karibuni- Zitto ni Zitto na Chadema ni Chadema

b) Anawashutumu eti chadema kuingilia email zake na kupata mazungumzo nyeti baina yake na marafiki zake

c) Atamuunga mkono Kafulila hata kama chadema wataweka mgombea wao huko Kigoma Kusini

d) Hawezi kufanya kazi ya majungu na milele amekuwa akiwatetea watu wanaokandamizwa eg kafulila

JF - nyie mnafikiri mwandishi anaweza kutunga mambo mazito kama haya - lazima amewasiliana naye.

Navyoona

Zitto anatondoka chadema ila muda si mrefu kwani hawezi tena kufanya kazi na viongozi wenzake ndani ya chama.

Pia kutunza personal email yako Mkuu Zitto ni jukumu lako na si la mtu mwingine, sasa ukisema mtu kaingia kwenye email box yako inakuwaje hapo?

Jibu maswali yafuatayo Zitto huko uliko:-

Ina maana unatumia email system ya chadema for your private correspondances? kama hiyo hivyo - KOSA la kwanza. (Muulize mwanahalisi anatumia nini)

Pili Default Security ya email system lazima ubadlili password yako after 30 days, sasa kama kuna umuhimu unaweza kubadili hata kila baada ya siku 3 kama unawasiwasi na watu kuingia mawasiliano yako nyeti. - kwa hilo sikubaliani na wewe. Kama hukuwa unafanya hivyo pia KOSA la pili.
 
Jamani nimeona article inayosema Zitto yuko mbioni kujiuzulu Chadema katika Mwananchi! Cha kushangazwa article hiyo wameitoa ghafla! Sasa najiuliza kulikoni?

Ni vyema tu kwani ana uhuru wa kuchagua chama cha kukitumikia akiona alichonacho hakimfahi!
 
Guys,why don't you give Zitto a break!!!!!!,this Zitto issue imekuwa too much sasa,kila kukicha Zitto Zitto aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh,inaboa sasa!!

Yani mpaka inakera sasa, Nahisi hawa jamaa journalists wa TZ wamekosa habari. Maana za Ufisadi sijui zimechakaa?

Mods kama vp hii iunganishwe na hii https://www.jamiiforums.com/uzushi/46060-zitto-atembea-na-barua-ya-kujiuzulu-chadema.html hizi thread za Zitto na CHADEMA mpaka zinakera sasa
Nyie hapo juu ni unafiki unawasumbua eti too much kuhusu Zito! Kama uanaona too much hujalazimishwa kusoma au kuchangia ebo! Ukiona jina la Zito msifungue hiyo thread hivyo mtakwepa kero. Umeshaona jina la Zito halfu unaenedelea kusoma na kuchangia halafu uanatka kutuaminisha kuwa unakera. Puliziiiii

kwa nini SLAA HAJAANDIKWA?
ZITTO ANAVUNA ALICHOPANDA,

MIMI SIONI SABABU YA KUTOANDIKWA HABARI ZAKE AU CHADEMA HUMU JF, wakati alipokuwa kwenye peak kila mtu alikuwa anaona kuandikwa Chadema au Zitto ni sawa tu, lakini sasa inaonekana inauma.
Well said mkuu,

Mh. Zitto tuweke sawa, unajua sisi wote tupo nyuma yako????????????
Fallacy jisemee wewe pekee kuwa uko nyuma yake

Mambo CHADEMA yalianza kuharibika wakati wa Wangwe...Mlitakiwa m salve wakati ule, sasa its too little too late.
MIsfrika divyo ati mtua hawezi kufa hafi bila kuhusisha mkono wa mtu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom