Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Zitto kesha tamka hahami Chama. Kuhusu swali lako(red), ungeacha uvivu na kutembelea tovuti ya Bunge uone michango yake kama Mbunge ni nini na utapata jibu utakalo.
Why worry!
Hata akifa we have nothing to loose kama alikufa mtu mashuhuri kama JKN na tukaomboleza and we don't even know our destination under the CCM corrupt regime why waste muda na mtoto asiyejua atakacho in the name of foolish Zitto Zuberi Kabwe. That young and spoiled MP spills a lot of rubbish from his mouth kama ameweza kusema The corrupt Dr. IDRIS RASHID ni royal model CEO in Tanzania what more rubbish can we tolerate from him. Lete topic nyingine let him even go to hell it doesn't make any sense atahamia wapi?
 
Josephat Isango

NITASEMA ukweli daima, ili taifa la Tanzania, linufaike liendelee kudumu. Ni tendo la ukatili sana, ambalo hufanywa na wale tu wenye dhamiri za pekee, ambao kwa kawaida tunaweza tukawaita kwa jina moja tu la ukatili.

Wala haihitaji mwekezaji kujua kuwa ama umehongwa, ama unataka kuhongwa!

Kusingizia kuacha siasa ni kutuambia kuwa ulichokuwa unakitafuta umekipata, na hauna haja tena na ukombozi wa Tanzania. .

Huyu mwandishi uandishi wake ni wakufikirika zaidi na naamini anaishi nchi ya kufikirika. Una maana gani unaposema haihitaji mwekazji kujua kuwa Zitto amehongwa? Kwanini wewe unayejua usiweke ushahidi hapa kuliko kuandika kwa hisia?

Au ni mkakati wa kutaka kumfanya asi-concentrate kwenye shule ili afeli kama alivyofeli mzee. (FIKIRI TAFADHALI).
 
Rwakatare alihama CUF. Leo hii ipo! Wacha aende na tunaombea sana sabab kesha chafuka. Mnakumbuka alivyoshabikia Dowans? That dainted him.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu aliyewaamini CCM,
kama wewe uliwaamini ni weye peke yako naomba usituingize na sisi ambao toka day one hatujawaamini watu hao.

Je wewe unamuamini nani? au chama gani? Je Dr. slaa au mboye? Kwa taarifa yako Dr. slaa alienda chadema baada ya kukosa nafasi ya kugombea ubunge CCM. Endapo angepata mpaka leo angekuwa CCM.

Siasa ni mchezo wa ajabu sana na wanasiasa hawaaminiki kabisa.
 
Zitto Zitto hivi hakuna mambo ya kujadili kila siku mtu huyo huyo yeye ni nani hasa ameifanyia nini Tanzania !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hakuna.Zitto aka mr dowans hana lolote huyu ni mwanasiasa anayeganga njaa.
 
huyu mheshimiwa ametoa msimamo kupitia page yake ya facebook muda mchache tu uliopita kwa hiyo hatuna haja ya kumjadili hapa,angalia bolded statement hiyo ni nukuu yake bila edit

kumekuwa na maneno mengi kuhusu hatma yangu ya kisiasa. Niweke wazi kwamba sifikirii wala sijawahi kufikiria kuhama CHADEMA. Ninaamini katika kujenga demokrasia imara ya vyama vingi nchini kwetu katika misingi ya kuheshimiana, UTU na Uzalendo kwa Taifa. Wanaonihukumu ninawashauri "waweke akiba" ya maneno yao.......! Mzee Thabit Kombo aliwahi kusema.
 
Kabwe.JPG

MGUU PANDE.

MGUU SAWA.

MBELEEEEEEEEEEEEEEEE

TEMBEA
 
Itakuw apoa tu akihama,kwanza anatuboa sisi tunaovutiwa na siasa za chadema
 
Hata akihama, atakuwa amejimaliza kisiasa. Mfano dr wald kaboru alihama na sasa kwisha kabisa.
 
Mie naona yeye anasababisha misukosuko ndani ya chadema!

Simpo, akihamia CCM jibu kitakachotokea ni kwamba hatokwepo CHADEMA na wapiganaji wengine kuiziba nafasi hiyo haraka sana na wala usijiumize kichwa sana katika hilo.

Katika uwanja wa siasa hata siku moja huwa hakuna kitu VACUUM au utupu usiojazika.
 
Ataacha CHADEMA ijikite katika mikakati ya maendeleo zaidi kuliko kushughulikia migogoro ya ndani ya chama
 
Jabulani, hayo ni maneno yenye mshikio!!

Wengine hudhania lengo la uongozi ki malumbano matupu ya mara kwa mara bila kuonyesha results mezani watu waone na watambue thamani yako kwa kuwaletea maendeleo si kutafuta umaarufu binafsi kila wakati.
 
asababishe misuko suko ya nini? kwani yeye ndio chadema pekee yake? akitoka chilgati CCM itakufa? acha mawazo mgando kijana. Chama ni bira zaidi ya mtu. na ni dhambi mbaya sana kama watu watamwamini mtu zaidi ya chama chao au group lililowaweka pale.natumaini bila Chadema asingekuwa hapo alipo sasa.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wa phd ya biblia slaa, na form three freeman mbowe kujiunga ccm kuliko zitto kabwe kujiunga ccm.
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wa phd ya biblia slaa, na form three freeman mbowe kujiunga ccm kuliko zitto kabwe kujiunga ccm.

Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tihiii! Tiihi! Eti 'phd' ya biblia na form three. Amka wewe!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom