Nancy Tweed
Senior Member
- Nov 22, 2010
- 123
- 3
Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tihiii! Tiihi! Eti 'phd' ya biblia na form three. Amka wewe!
Theology in elimu ya biblia. Slaa ana phd ya theology. This is not my opinion, it is a fact.
Tehe! Tehe! Tehe! Tehe! Tihiii! Tiihi! Eti 'phd' ya biblia na form three. Amka wewe!
MPANGO WA ZITTO KUAMA CHADEMA UNAANZIA HAPA?
Hapa zitto alikuwa anautubia wanaccm ili wamzohee, ili mpango wa kuama ukikamilika wanachama wawe wamemuzoea
![]()
games hii thread ya nini?kumpa ujiko zitto? Who is zitto by the way? Magazeti au vyombo vya habari ndivyo vinavyowajenga hawa watu...fanya assumption..kama magazeti/vyombo vya habari hayato andika habari za zitto, who will know zitto? ..i agree with other pple..nothing will change...wapo watu..kufa kwao au kuhama kwao chama lazima kiyumbe..kaka zitto hajafikia hapo...wapo ktk siasa za tz fuatilia...
I dought the authenticity of this photo, it has been superimposed, these are two different photos, wataalam wa maswala ya photos watakuambia kitu kama hicho, kwanini isielezwe hapo ni wapi na lini ilichukuliwa, maana hata kupata recognition ya watu waliohudhuria inakuwa ni tabu, nahisi kuna mkono wa mtu hapa
binafsi sipendelei personalities zinapokuwa popular kuliko chama na nadhani its about time chadema wakaaachana na mikutano ya hadhara kila kukicha na waka concentrate na mambo muhimu
![]()
otherwise wataingia hiyo edward lowassa sydrome ambayo symptoms zake ni pamoja na kuona ofisi kama kituo cha polisi, kutoa amri za sikusaba saba na kuzunguka nchi kila kukicha
nakumbuka mrema naye alikuw ahivi hivi na nccr na najiuliza hivi leo zitto anaamua kujiunga na ccm au anaachana na siasa itakuwaje?
Kama mdau wa karibu wa Chadema kuhama kwa Zitto, kungepunguza matatizo mengi sana ya Chadema.kama anataka kujimaliza ahame!