Hivi nyie mnataka Zitto aache kutekeleza kazi zake za uenyekiti ya Kamati ya Mahesabu ya mashirika ya UMMa na kubagua wananchi wanaotaka kumuona na kumpa shida zake eti kwa sababu ni mbunge kutoka Chadema au naibu katibu mkuu Chadema nadhani mungeangalia hii thread ni ya lini na muanzisha thread alikuwa na maana gani, alikuwa anakionya chama kutokuwa na mtu mmoja ambaye anaonekana kama nyota pekee.
Kitu ambacho nadhani Chadema wameweza kukifanya ukiangalia sasa hivi unaona kuwa wabunge kwa viongozi wa chadema kila mtu ana nafasi yake katika chama. Zitto endelea kutekeleza majukumu yako chama wanajua unafanya nini achana na akina nini hii wanaongoja mkono undondoke kama Fisi