witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Mzee wa kubet...Kupita Mwambuli?
Mzee wa kubet...Kupita Mwambuli?
Kimaro economy hukukutana nae?Law tulikamatwa nusu darasa , huyu mzee sifaa saana alijisikia raha kuturudisha september
Hivi amu umetusuaga pale kumbe?Mwamburi Kamaliza Phd China Juzi,yule Mzee Wa Kamari Nawasiwasi Kama Hafanyi Forex
Haaahaaa....Jmall na new africa humkosi, ila ana mibahati anapigaga bingo balaa!Mwamburi Kamaliza Phd China Juzi,yule Mzee Wa Kamari Nawasiwasi Kama Hafanyi Forex
Wengi vijana hawataki kijana utoboe!donlucchese nikakumbana tena na supp ya mkenda taxation sema nikaappleal nikachomoka,nikakumbana na Management ya Zawadi ila walimu wa pale ni shida mtu anawala vichwa zaidi ya robo 3 yaani yeye kuandika 0% anaona kawaida tu daaaa
Analeta masihara na kile chuo, anafikiri you dii ile sijui education mara sociology!Ungeenda kusoma pale uone kama semester ya kwanza tu hujadisco
Hivi kale kademu ka development study kasista duu bado kapo?mama tuli nlipona ila nikakumbana na Sinde Zawadi na mkenda
sifa balaamshamba sana yule sijui kabila gani,na anajiona anajua kuliko yeyote apa bongo hahah
Hivi Basesa yupo?yaani nashangaa walimu wa qm walivyofululiza credo alnfundisha mimi
BBF A or B?Aisee, mkenda aliwakamata washkaj zangu kibao daah hafai yule. Bora hata sisi yule mama wetu wa BBF ilikuaga bata tu
kweli kabisa!![]()
malecturer wa pale ni wana sifa balaa, almost wote!
ndo haswaa jinsi mitihani ya huyo jamaa ilivyo kuwa..Hahaahahahaaaaa.. malaika na majini ni vitu viwili tofauti kabisaa
hahaha walimzushia kaunguasifa balaa
Eeeh eti zilisambaa....walikuwa wanasema ana hasira kutokana na LUKU!....ila ngozi yake sio nzuri haina mng'ao kama mtu wa mshahara!hahaha walimzushia kaungua
haahaa....Kibacha akamwambia kuanzia leo ukiona naingia utoke nje sifundishi majeuri mimi
...nitaendelea!hahahah labda kweli zilikua zinatokana na Luku,Eeeh eti zilisambaa....walikuwa wanasema ana hasira kutokana na LUKU!....ila ngozi yake sio nzuri haina mng'ao kama mtu wa mshahara!
Ila yule jamaa ana stress balaa!
Kuna siku 1st year, tuko class eti kamsimamisha kijamaa kimwambie yy kabila gani, classmate akamjibu mi mmoroco![]()
haahaa....Kibacha akamwambia kuanzia leo ukiona naingia utoke nje sifundishi majeuri mimi
![]()
...nitaendelea!
Haahaàahaahahahah labda kweli zilikua zinatokana na Luku,
Duh! Mungu amsamehe madhambi yake. Maisha yangu ya QM/QT aliyarahisisha mno.Doooh! Yule mbaba kafa!