quake
Member
- Sep 11, 2012
- 94
- 64
kwa shebby 🙂🙂🙂 pale tulikua tunaweka akili sawa kabla ya kwenda kukumbana na akina kibacha na doriyeSaivi smoking kwa fundi viatu pale kona ya utalii college
kwa shebby 🙂🙂🙂 pale tulikua tunaweka akili sawa kabla ya kwenda kukumbana na akina kibacha na doriyeSaivi smoking kwa fundi viatu pale kona ya utalii college
Mbona kuna machaka pia?wewe itakuwa unapenda wanawake wazuri wazuri sana hongera
Yaaap kitu ya arusha inapigwa pale kisayansi sanaaakwa shebby 🙂🙂🙂
Mbona kuna machaka pia?
Sema wako so argumentative nikilinganisha na soma soma wa UD.
hahaa ila kuna muda wazee walikua wanakuja pale noma sana..Yaaap kitu ya arusha inapigwa pale kisayansi sanaaa
Hiyo hata Havard ipo mkuu!Mimi nili disco IFM ila nimetoka kimaisha.
Nasikia waalimu wa IFM wanawalala sana wanafunzi pale IFM
Mzigua90Haahaah JF hakuna waliosoma IFM
Hivi population ya Udsm inafanana na ile ya IFM ?Mbona kuna machaka pia?
Sema wako so argumentative nikilinganisha na soma soma wa UD.
Hujanielewa, na kwa conclusion uliyofanya sihitaji kukuelewesha.Hivi population ya Udsm inafanana na ile ya IFM ?
Wanafunz wa IFM ni sawa college moja ya UDSM halafu unataka wafanane. Huo ni ujuha.
Acha hizoaaaaa huyu ndo don nimjuaje
nimeachaAcha hizo
I stand to be correctedHujanielewa, na kwa conclusion uliyofanya sihitaji kukuelewesha.
You are entitled to your opinion.
Airport kali zakeTupo mkuu tuzungumzie nini mkuu airport au screen saver?
Ungeenda kusoma pale uone kama semester ya kwanza tu hujadiscowapo IG hahaha IFM bwana ningesoma pale nisingeweza kujigamba wanaume wanashndana na wanawake kupaka poda, kalkiti, lipbam kubana mdomo upge selfie dah tabu tupu
TawireIFM hamna wajingawajinga
kucoment kwenye thread ya utoto nao ni utotoKukumbushia mambo ya shule na chuo nao ni utoto
Wewe hukufika chuo ?Kukumbushia mambo ya shule na chuo nao ni utoto