IFM alumni...!!!!

IFM alumni...!!!!

Huyo ndendekisye si ndo yule mbabu ana sura ngumu kweli kweli na roho ngumu ila kaoa mwanamke mrembo sana jamani tulisoma nae mwaka mmoja.Nakumbuka kama hujamaliza ada utaisoma no kwake utakumbana na majibu mpaka akupe kibali cha mtihani nusu saa imeshaisha
Ali retire 2013 km sikosei!
 
kuna jamaa alikuwa anafundishaga property & percuniary insurance..
anachofundisha na anachotoa kwenye mtihani ni kama malaika & majini!

halafu lilikuwa linaona sifa tu kutugawia ma-supp kama faza xmas!
Hahaahahahaaaaa.. malaika na majini ni vitu viwili tofauti kabisaa
 
kuna jamaa alikuwa anafundishaga property & percuniary insurance..
anachofundisha na anachotoa kwenye mtihani ni kama malaika & majini!

halafu lilikuwa linaona sifa tu kutugawia ma-supp kama faza xmas!
malecturer wa pale ni wana sifa balaa, almost wote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom