donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
- Thread starter
- #101
Halafu balaa ni kwamba nyuma yale ndio makao makuu ya jeshi la magerezaSisi wengine camp yetu ilikuwa nyuma ya block D, mwendo wa kusmoke tu
Halafu balaa ni kwamba nyuma yale ndio makao makuu ya jeshi la magerezaSisi wengine camp yetu ilikuwa nyuma ya block D, mwendo wa kusmoke tu
Hapana asee wale wa kwetu pale IFM ni walimu malaya sana asee😀Hiyo hata Havard ipo mkuu!
Hivi mwambuli alikua ni int. Finance eeh?Kupita Mwambuli?
Mi alinifundisha Auditing!Hivi mwambuli alikua ni int. Finance eeh?
Cool, nothing personal.I stand to be corrected
BTW nilikosea kuku qoute mkuu.
Saivi smoking kwa fundi viatu pale kona ya utalii college
Mi narudi for Msc.FinanceDah noma sana, ningekuwa naweza ningerudi IFM kusoma Phd (Kama ipo)
jiloge ukatishe pale wanapopandisha au kushusha ile bendera wakuone.. wakimaliza wanakuungia..Halafu balaa ni kwamba nyuma yale ndio makao makuu ya jeshi la magereza
mungu akipenda tutakuwa pamojaMi narudi for Msc.Finance
Naskia ukiwa enrolled IFM hupati mkopo??Ata lemutuz anadai ana digirii zaidi ya moja
Wapo waliosoma IFM na walipata mkopoNaskia ukiwa enrolled IFM hupati mkopo??
Natishwa hadi najuta why nimeapply pale bora ningeapply youdii na mzumbe pekeeWapo waliosoma IFM na walipata mkopo
WA audit Yule Mzee Nilikua sikosi kipindi chakeKuna yule Professa mifano yake ni ya mapenzi tu hahah
Life after IFM is better, sijawah kukutana na IFM product kapaukapauka kifala mtaani wengi wanaishi quality life kulinganisha na product kama za UDSM au UDOM nk graduate lakn wanapauka kifalafala mtaani
Yule mshikaji ana gubu sijawahi kuonaaiseeee usinkumbushe yule mbaba ndo wa kwanza kunila kichwa business law
Ulipona kwa mama tulidonlucchese nikakumbana tena na supp ya mkenda taxation sema nikaappleal nikachomoka,nikakumbana na Management ya Zawadi ila walimu wa pale ni shida mtu anawala vichwa zaidi ya robo 3 yaani yeye kuandika 0% anaona kawaida tu daaaa
camp nyuma ya block d ilikua anaitwa backchaa,wewe ata jina ulijui ulikua wakupita tu,chimbo la tangu enzi hizo kina rado na cpwaaSisi wengine camp yetu ilikuwa nyuma ya block D, mwendo wa kusmoke tu
Yupohivi kibacha bado yupogo ifm yule mjinga
duh yule jamaa kuna kipindi alitunga mitihani asilimia 75 yote mwaka wa kwanza waliufel ,ikawa kimbe kimbe kwa mkuu wa chuoYupo