IFM alumni...!!!!

IFM alumni...!!!!

Salam wakuu,
Nimefungua uzi huu maalum kwa wakuu mbali mbali ambao tulipitia pale ifm kuweza kukutana hapa kujuliana hali na kufahamu mawili matatu na kushare experience mbalimbali kuhusu maisha at ifm na life after ifm. Karibuni wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Siwezi msahau doriye ...... yule mpuuz alitutesa saana
 
Jamani mwenye taarifa lini vyeti vya waliomaliza Diploma 2017 vitatoka atujuze
 
IFM so poa..sema nin fresh tuu.

Ukisikia mtu anasema ivyo ujue kakutana nacho...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom