Jina linguine ni nani ama ni Yule Babu wa kipemba abdulfattiha
Jina linguine ni nani ama ni Yule Babu wa kipemba abdulfattiha
Alianza credo nafikiri Credo alivyotoka ndo akaja Bukwimba simfahamu Bukwimba pia kuna mbabu alikuwa anaitwa Nguma alitufundisha auditing nafikiri alikuwa anakunywa konyagi balaa na ana hasira mda wowote anaweza kukudukua konzi ukiwa hujaelewa,Nampenda sana Babu Nkoba very Humble personNimesikitika Sana kuhusu bukwimba
Haha eti atakudukua konzi...Mimi credo ndo simkumbukiAlianza credo nafikiri Credo alivyotoka ndo akaja Bukwimba simfahamu Bukwimba pia kuna mbabu alikuwa anaitwa Nguma alitufundisha auditing nafikiri alikuwa anakunywa konyagi balaa na ana hasira mda wowote anaweza kukudukua konzi ukiwa hujaelewa,Nampenda sana Babu Nkoba very Humble person
na Mimi ndo nimepata taarifa apa apaJaman bukwimba kanifundisha QM 2014 kafariki Lin jaman uwiiiiii
inawezekana pia hukumkuta Credo,mimi mkongwe pale ndio Nguma alikuwa anatudukua makonzi```````Haha eti atakudukua konzi...Mimi credo ndo simkumbuki
Nashukuru hakuwahi kutufundisha. Alisababisha rafiki yangu ahame chuo maana alimshika halafu akaleta zile zake zileeeeee. Rafiki yangu akaona upuuzi arudie mwaka halafu mwalimu yule yule bora ahame tuaiseeee usinkumbushe yule mbaba ndo wa kwanza kunila kichwa business law
Imeshushwa eehChuo cha wajanja IFM wanaotoka pale wanamaisha full UDSM shamba kule wanafundishwa maisha na wtoto wa IFM kwanza kuishi maisha ya IFM ni mtihani tosha unapisha na mitoto mikaliiii kama haijazaliwa
Wewe tena.Na sisi tulio oa IFM inatuhusu?
Make mimi mpaka leo IFM imekuwa ugonjwa wangu.
Mwana FA na Jay Mo kwenye Mimi na mabinti damu damu na Kama unataka demu ndo ilikuwa chanzo.
Ndo maana hanenepi yule kwa sifa. amu mwambie rafiki ako apunguzeMwambuli hafai mnyakyusa sijui anasifa sana mpaka walimu wenzie hua wanammaindi yan
Anawapenda hatari huyo.wewe itakuwa unapenda wanawake wazuri wazuri sana hongera
Nipo nipo hapa.
Aaah wapi. Hamna chuo kigumu wala kirahisi ni akili yako tu na kujitambua. Mi na bata zangu zote zile nilipata supp moja tu tena third year kwenye auditing ya mwambuli.Ungeenda kusoma pale uone kama semester ya kwanza tu hujadisco
kucoment kwenye thread ya utoto nao ni utoto





Maana kamind kweliWewe hukufika chuo ?
Wewe chimbo lako lilikuaga wapi??Halafu balaa ni kwamba nyuma yale ndio makao makuu ya jeshi la magereza
AccountsHivi mwambuli alikua ni int. Finance eeh?
Rudi tuuDah noma sana, ningekuwa naweza ningerudi IFM kusoma Phd (Kama ipo)
Natamani hatari. Ngoja nijipange pange nirudi shule.Mi narudi for Msc.Finance
jiloge ukatishe pale wanapopandisha au kushusha ile bendera wakuone.. wakimaliza wanakuungia..






Vizurimungu akipenda tutakuwa pamoja
Uongo huo. Mimi nilipataga mbona tena hela ya kutosha tuuNaskia ukiwa enrolled IFM hupati mkopo??
Kuwa na amaniNatishwa hadi najuta why nimeapply pale bora ningeapply youdii na mzumbe pekee
Backchaa nilikua napaona kama kituo cha polisicamp nyuma ya block d ilikua anaitwa backchaa,wewe ata jina ulijui ulikua wakupita tu,chimbo la tangu enzi hizo kina rado na cpwaa
Yonazi ndo nani??Yonazi anazidi kupata mashavu tu kwenye serekali ya magu...anaroho nzuri sana yule jamaa Mungu amzidishie
Aisee, mkenda aliwakamata washkaj zangu kibao daah hafai yule. Bora hata sisi yule mama wetu wa BBF ilikuaga bata tudonlucchese nikakumbana tena na supp ya mkenda taxation sema nikaappleal nikachomoka,nikakumbana na Management ya Zawadi ila walimu wa pale ni shida mtu anawala vichwa zaidi ya robo 3 yaani yeye kuandika 0% anaona kawaida tu daaaa
Jamani yule kama mwarabu?bukwimba . apumzike kwa amani
HHahaaa Kibacha mzee wa Business Law... ana mbwembwe za hatari!hivi kibacha bado yupogo ifm yule mjinga
aaaaaa mimi nlichomoa appeal jamaa ana roho ngumu ila mlaini sana yule kwenye churaAisee, mkenda aliwakamata washkaj zangu kibao daah hafai yule. Bora hata sisi yule mama wetu wa BBF ilikuaga bata tu
Sijawwhi kupata chini ya B+ QMduh ,,jamaa kumbe kafariki mwaka Jana,apumzike mahala pema,alishanikamataga kwa Mara ya kwanza nikachomoa
Nlimaanisha asiichukulie poa ifm, nini sup. Watu tumenyoosha GPA ukiangalia trans unakubaliNdo maana hanenepi yule kwa sifa. amu mwambie rafiki ako apunguze Anawapenda hatari huyo. Nipo nipo hapa.Aaah wapi. Hamna chuo kigumu wala kirahisi ni akili yako tu na kujitambua. Mi na bata zangu zote zile nilipata supp moja tu tena third year kwenye auditing ya mwambuli.Maana kamind kweli
Chimbo langu lilikua kule ocean roadWewe chimbo lako lilikuaga wapi??Accounts Rudi tuuNatamani hatari. Ngoja nijipange pange nirudi shule.VizuriUongo huo. Mimi nilipataga mbona tena hela ya kutosha tuuKuwa na amaniBackchaa nilikua napaona kama kituo cha polisiYonazi ndo nani??
Mimi nini?Wewe tena.