mama tuli nlipona ila nikakumbana na Sinde Zawadi na mkendaUlipona kwa mama tuli
jamaaa yule mshamba sanahivi kibacha bado yupogo ifm yule mjinga
bukwimba . apumzike kwa amaniMmmmmmh kuna mbaba fulani hivi wa QM mpole mweupe mnene mnene kidogo nasikia amefariki mwaka jana sooo sad![]()
Ulihitimu mwaka gani pale IFM?mama tuli nlipona ila nikakumbana na Sinde Zawadi na mkenda
aaaa 37 but FirstUlihitimu mwaka gani pale IFM?
Sijakuelewa sister. Nimeuliza umemaliza mwaka gani?aaaa 37 but First
ndo mwaka huo nimemaliza sisi ilikuwa mahafali ya 37 lakini degree ya kwanza kwa kile chuoSijakuelewa sister. Nimeuliza umemaliza mwaka gani?
Aaaaa akikujibu niambieWewe hukufika chuo ?
Duuh! Nimekwisha sahau habari za mahafari ya 37,anyway mimi nilihitimu mwaka 2012.ndo mwaka huo nimemaliza sisi ilikuwa mahafali ya 37 lakini degree ya kwanza kwa kile chuo
hayaDuuh! Nimekwisha sahau habari za mahafari ya 37,anyway mimi nilihitimu mwaka 2012.
duh ,,jamaa kumbe kafariki mwaka Jana,apumzike mahala pema,alishanikamataga kwa Mara ya kwanza nikachomoabukwimba . apumzike kwa amani
mshamba sana yule sijui kabila gani,na anajiona anajua kuliko yeyote apa bongo hahahjamaaa yule mshamba sana
Bukwimba kafariki? Kafariki Lin jaman kuna kipindi mwaka jana alikua amepungua sanabukwimba . apumzike kwa amani
Jaman bukwimba kanifundisha QM 2014 kafariki Lin jaman uwiiiiiiduh ,,jamaa kumbe kafariki mwaka Jana,apumzike mahala pema,alishanikamataga kwa Mara ya kwanza nikachomoa
alifariki mwaka jana pia credo nae alikua anafundisha QM alifarikiBukwimba kafariki? Kafariki Lin jaman kuna kipindi mwaka jana alikua amepungua sana
yaani nashangaa walimu wa qm walivyofululiza credo alnfundisha mimialifariki mwaka jana pia credo nae alikua anafundisha QM alifariki
Credo ni yupi? Amefundisha QM ama FNalifariki mwaka jana pia credo nae alikua anafundisha QM alifariki
QMCredo ni yupi? Amefundisha QM ama FN
Nimesikitika Sana kuhusu bukwimbayaani nashangaa walimu wa qm walivyofululiza credo alnfundisha mimi