Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,984
Mussa juma aka musa j....kuna jamaa alikuwa anafundishaga property & percuniary insurance..
anachofundisha na anachotoa kwenye mtihani ni kama malaika & majini!
halafu lilikuwa linaona sifa tu kutugawia ma-supp kama faza xmas!
yule mtu hafai!😀😀
Hafai kweli aliwarudisha watu darasa enzi hizo kuna kitu inaitwa " repeat a year"yule mtu hafai!😀😀
kuna pepa lake walipita watu sijui 10 tu wale kati ya 340..Hafai kweli aliwarudisha watu darasa enzi hizo kuna kitu inaitwa " repeat a year"
Sent using Jamii Forums mobile app