Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
BASI UZI HUUWeee wasemaa sisi tupo mkuuu
BASI UZI HUUWeee wasemaa sisi tupo mkuuu
Hahahah kawaida tuMkuu umesoma IFM afu huyajui hayo maeneo ya screen saver na Airport?
Alinikamata LW711first year ila nikachomoA. KUNA yule dingi kama mwarabu hivi mtaalam WA QM balaaHahahahah yule kaka daah .... nakumbuka alinifundisha law anasifa saaana
Alinikamata LW711first year ila nikachomoA. KUNA yule dingi kama mwarabu hivi mtaalam WA QM balaa


Alinikamata LW711first year ila nikachomoA. KUNA yule dingi kama mwarabu hivi mtaalam WA QM balaa
Mwamburi Kamaliza Phd China Juzi,yule Mzee Wa Kamari Nawasiwasi Kama Hafanyi ForexKupita Mwambuli?
Mwamburi Kamaliza Phd China Juzi,yule Mzee Wa Kamari Nawasiwasi Kama Hafanyi Forex
Yupi sr au jr?enzi zetu sr ndio alikuwa mkuu wa chuo,jr alikuja pale dogo katoka kumaliza chuo udsmSiwezi msahau doriye ...... yule mpuuz alitutesa saana
Yupi sr au jr?enzi zetu sr ndio alikuwa mkuu wa chuo,jr alikuja pale dogo katoka kumaliza chuo udsm
aaaa na dr Nkoba nahisi atakuwa coacher kwenye forexLazima afanye forex ..... treasury ndo uwanja wake!!
aiseeee usinkumbushe yule mbaba ndo wa kwanza kunila kichwa business lawHahaha, vp kibacha
Hahaha, hata mimi September conference ilinihusu aisee first yearaiseeee usinkumbushe yule mbaba ndo wa kwanza kunila kichwa business law
Chuo cha wajanja IFM wanaotoka pale wanamaisha full UDSM shamba kule wanafundishwa maisha na wtoto wa IFM kwanza kuishi maisha ya IFM ni mtihani tosha unapisha na mitoto mikaliiii kama haijazaliwaLife after IFM is better, sijawah kukutana na IFM product kapaukapauka kifala mtaani wengi wanaishi quality life kulinganisha na product kama za UDSM au UDOM nk graduate lakn wanapauka kifalafala mtaani
Umenena mkuu wajanja ndio sisi tunaosoma IFmIFM hamna wajingawajinga
Saivi smoking kwa fundi viatu pale kona ya utalii collegeHahahaha mnajifanya mnakinga maji?
Mwambuli hafai mnyakyusa sijui anasifa sana mpaka walimu wenzie hua wanammaindi yanKupita Mwambuli?
wewe itakuwa unapenda wanawake wazuri wazuri sana hongeraNa sisi tulio oa IFM inatuhusu?
Make mimi mpaka leo IFM imekuwa ugonjwa wangu.
Mwana FA na Jay Mo kwenye Mimi na mabinti damu damu na Kama unataka demu ndo ilikuwa chanzo.