IFM alumni...!!!!

IFM alumni...!!!!

Nasikia na mke wake alikuaga anapata supp eti ya somo lake [emoji23][emoji23]
Kwanza mimihadi leo sielewi imekuwaje wakaoana maana hawakuwa na mahusiano bidada Instgram kampamba tu yule mbabu aisee mbabu ana roho ngumu yule na majibu mabaya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aliona maisha bidada
 
Mhhhh mimi siwezi jamani kuwa na mtu mwenye roho ngumu hata awe nani,namshukuru mwanaume anautu sana yule babu hapana jamani
 
Shukrani mkuu ila mi naona ilikua kawaida tu mziki wake.
ndo maana wahuni wa backchaa walikua wanavuta mno bangi na handout mkononi, mambo ya bangi ni bangue ,nimalize handout zote hahaha,kule mzigua ulikua hausogei kabisa
 
Kule nimeanza kuja third year mwishoni nilikua namfuata bby wangu wa class anipige kipindi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha kule hatari ,watu alafu wanajiamini balaa ,wanavuta safi kabisa bila hofu na mtu mpaka mapusher kabisa walikua pale pale
 
Sijui walikua wanajiamini nini kwanza. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom