Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,605
- 59,744
Kutumika mara 1 kufanyia nini kukojolea shahawa au?Kwani we Binti Sayunii tangu umezaliwa imetumika mara moja tu?
Kutumika mara 1 kufanyia nini kukojolea shahawa au?Kwani we Binti Sayunii tangu umezaliwa imetumika mara moja tu?
Bwana wee sijui wanataka tutongoze wanaune wenzetu hawa kengeNdo urijali huo.
Haya fanya himaSikwambii, ngoja nije nikuonyeshe kwa vitendo 🤭😅
Sasa kujaribu bahati yake ni tatizo?Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Raha sana paleMkuu mi nikiona mwanamke anarusha yale maji yake kwa mbembwe huwa nachangangikiwa kwa furaha utadhani nimeingia peponi.
Ila jamani 🤔.
Hakika, unakuwa kama shujaa mkubwa sana.Raha sana pale
Ni kukiwasha tuu 😂😂😂😂Ila story hii tamu sana.
Mi naumwa hukuSijui kaenda wapi nina wasi wasi, na wasi ndo akili!
AU ANA mbaga jr muda huu?
Wanaume wengi, mpo kama huyu bodabodaWe ndo una Matatizo, kwa hiyo unafikiri sisi ni kama huyo Boda boda?
Mawazo yake hayakuwa sahihi kabisaKaona huyu dada Yuko cheap sana na value yake Iko chini, kaona Hadi Mimi naweza kumpeleka lodge kama hii.
Wanaume wengi, mpo kama huyu bodaboda
Wanaume mna balaa sana, mna hitaji maombi ya nguvuWanaume tuache hivi hivi.
Siku moja waifu ananionesha meseji ya jamaa mmoja hivi anamtongoza, toka kitambo, jamaa kaanza wife hana ujauzito, mpaka wife ana mimba ya miezi karibia 6 jamaa anazoza tu 🤣😂.
Ndio waifu hivi wanaume nyie mkoje, huyu anajua nimeolewa anatongoza tu, haya nina mimba kubwa kama hii bado hakomi, "
Nikacheka tu nikamwambia "ndio wanaume, japo si wote" 🤣😂
Ikawa kesi nikaambiwa na mimi nitakuwa hivi hivi"
Nikacheka nikapita hivi 🤣😂
We unazungumzia mtu kwenda lodge huenda hajatafunwa labda, watu wanapiga 3some, watu wananunua malaya, wanaona kabisa katoka kubanduliwa nae ananunua huyo huyo, vijana wa hovyo telegram wananunua mwanamke ambae video yake inaonesha anabanduliwa, tena anaweka mwanamke mwenyewe.
Katika dunia hii ambayo bikra ya mku-ndu imekuwa fifte fifte, yaani wanawake 10 basi wa5 wametatuliwa marinda na wa5 wazima na nina wasiwasi sasa hivi ikawa 7 kwa 3...
Unashangaa hayo binti sayuni?
Dunia ishavua kijora hii imebaki na bikini.