Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Unakuta mtu ananunua malaya anakula na kupiga deki bila wasiwasi, anafurahia kabisa

Siwapondi, ila ngumu kumeza
watu wachafu kama mbwa,kuna jamaa nilikuta amevushia kwenye geto langu kitanda sikukilalia tena nikaamua kuuza kabisa nachukulia ngono kama uchafu yaani
 
Wote tunazikwa Chini hakuna ataezikwa juu ya Dari, vunja mifupa km meno bado ipo
ngono ni uchafu tu ,vunja mifupa gani wakati unakuwa unavunjwa wewe kuanzia kiakili kiroho na kimwili...ukianza kugonga kuanzia saa1 mpaka saa1 usiku utakuwa mtu kweli kama ni starehe...ngono ni uchafu ndomana hata mitume wanatuonya kuhusu ngono
 
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.

Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.

Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.

Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF

Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Hawa ni wasukuma waliovamia mji, nyege tu zinawasumbua maana hapa mjini hawawezi kufilana na ng'ombe kama kule kwao maporini.
 
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.

Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.

Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.

Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF

Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Bwana mdogo alikuwa sahihi. Huyo rafiki yako inaonyesha wazi huyo jamaa si mume ni rafiki wa faida. Kuna wanawake wako na wanaume ni waume za watu.

Kwa kiwanģo kikubwa wanawake ambao tunakuwa nao tunawatoa kwa jamaa zao. Wachache tunawakuta wako single. Na hilo wanaume halitusumbui.
 
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
We Binti Sayuni naomba uniambie una umri gani tafadhali? Kwani we ukimaliza huwa hauioshi kwa ajili yako na kwa ajili ya matumizi ya baadae.? Hapa chakushangaza ni nini we Gen Z toleo jipya?
 
Back
Top Bottom