ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Hizi stori bila kutaja hizo id
Mtatuacha njia panda.
Tajeni basi.


Ila nimekumbuka mshana
Akina Extrovert na wengine wengiwengi mlitapeliwa hapahapa jukwaani.
Mtu kaja na picha ya mtoto Mgonjwa, eti anadaiwa bill hospital

Tukampa pole wee
Akina Mshana chap mkamtumia michango.
Dah, kumbe amechukua picha za watu jamani,, Yeye siyo muhusika.
Wahusika wa Mgonjwa kwenda kuwaona hiyo hospital walishangaa.
Ila matepeli ni watu majasiri sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hizi stori bila kutaja hizo id
Mtatuacha njia panda.
Tajeni basi.


Ila nimekumbuka mshana
Akina Extrovert na wengine wengiwengi mlitapeliwa hapahapa jukwaani.
Mtu kaja na picha ya mtoto Mgonjwa, eti anadaiwa bill hospital

Tukampa pole wee
Akina Mshana chap mkamtumia michango.
Dah, kumbe amechukua picha za watu jamani,, Yeye siyo muhusika.
Wahusika wa Mgonjwa kwenda kuwaona hiyo hospital walishangaa.
Ila matepeli ni watu majasiri sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mtoto kalazwa Lugalo😀🙌🏿 .. Mmoja kati yetu akamstukia, akatutonya tukandaa mtego..😂

Kumbe MTO to hakuwa wake wala hamjui.. Jamaa alikuwa anavia kitanda cha mtoto na kupiga picha🤣
 
Hii moja tu inanipa uvivu nikiongeza nyingine si nitazimia kabisa😀😀,
Wenzetu mnawezaje???
Ajabu kwanza hiyo ya pili si ntajichanganya kuchangia yaani mapema mno nakamatika...

Moja tu inatosha bahati mbaya zaidi tayari nimeshakutana na watu kupitia id hii hii moja.
Sina comments yoyote ya kunihatarisha nje ya mtandao naogopa nini mpaka niwe na Id nyingi!
 
Mtoto kalazwa Lugalo😀🙌🏿 .. Mmoja kati yetu akamstukia, akatutonya tukandaa mtego..😂

Kumbe MTO to hakuwa wake wala hamjui.. Jamaa alikuwa anavia kitanda cha mtoto na kupiga picha🤣
Yaani huu utapeli ndio wa kwanza nashuhudia Jf
Tangu Uzi unaanza hadi unakufa😂😂😂😂😂
Kila nikikumbuka nacheka,
Mungu amsamehe yule kaka jamani 🙌
 
Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.

Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.

Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.

Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅
😂😂😂😂😂
3m
Ningezimia.
 
Sasa waambie waheshimiwa majaji kwamba na mimi aliniingiza king, kidogo nivurugane na wife najua nna rescue mwamba kumbe naingia mkenge.(Ila wanawake mmepewa namna ya kutambua hatari na michongo feki) niliambiwa kabisa mbona huyu mtu kama mission town? Ntasikia sasa.
Dah😂😂😂
Huyo mtu jasiri
Anawatapeli hadi nyie watu wenye exposure
 
Hata hakusema awali, nikawa nikikutana na mtu naona anazidi kuwa mwekundu na ananyong'onyea kimya kimya kumbe ameshatengenezwa.

Imagine jamaa akarudi tena ki gentleman anataka arefund utapeli, bado akashindwa kuhifadhi ufedhuli wake, akazidi kuharibu.

Ila unaweza usiamini jamaa anawezakuja kupiga tena pesa kwa binti kiziwi na akafanikiwa, hasikii kwa vile ni kiziwi
Dah😂😂😂😂na kale karangi kake
Itakuwa alikuwa mwekundu kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom