Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,074
- 54,160
Huyo Jamaa hata mimi alinitapeli pia 🤣. Lakini huu uzi utapunguza na kuondoa huu uozoEnheeee 😂😂😂😂
Huyo Jamaa hata mimi alinitapeli pia 🤣. Lakini huu uzi utapunguza na kuondoa huu uozoEnheeee 😂😂😂😂
Mtu ana tapeli hadi mwenye JF yake 😆Huyo Jamaa hata mimi alinitapeli pia 🤣. Lakini huu uzi utapunguza na kuondoa huu uozo
Hivi mshana kuna utapeli umekupita kweli?😂😂😂😂ulivyo na hurumaYule mwana aliyefiwa na mkewe Kibaha.. Halafu mdogo wake ndio akawa ana report huo msiba na kuomba assist JF kumbe ni scam tulikuwa tunapigwa😂🙌🏿
Yani ujipange kujibizana naye!Yupo fiti kote kote 😁😁
Mkuu huyo jamaa alikuwa na nyuzi zake humu unaweza ukasema dah huyu ni mtu wa maana kweli. Halafu na yeye ni wa huko huko Bukoba naye 😂Kuna watu wana roho ngumu sana😂 hadi Max🙌🏿🙌🏿
Kutangazika hadharani, utakuwa unaendeshwa kimkakati sanaUmalaya sidhani, hafu mbona hauna shida sana🤔
Ndio malaya huwa wanajiheshimu mbona, matapeli jamani🙆🏽♀️ Afadhali ya mchawi duhh!🙌🏾Kutangazika hadharani, utakuwa unaendeshwa kimkakati sana
Unatingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana Swahiba🤣kwangu Mimi nikiona mdada kabadili ID au ana badili badili ID najuaga kaishaliwa humu
Kuna yule tulidanganywa ni tajiri sana kafia nje ya nchiKuna watu wana roho ngumu sana😂 hadi Max🙌🏿🙌🏿
Hahahaha😋🤣 anasoma kitabu huku ana nyongaa
View attachment 3668374
Usinikumbushe...Hizi stori bila kutaja hizo id
Mtatuacha njia panda.
Tajeni basi.
Ila nimekumbuka mshana
Akina Extrovert na wengine wengiwengi mlitapeliwa hapahapa jukwaani.
Mtu kaja na picha ya mtoto Mgonjwa, eti anadaiwa bill hospital
Tukampa pole wee
Akina Mshana chap mkamtumia michango.
Dah, kumbe amechukua picha za watu jamani,, Yeye siyo muhusika.
Wahusika wa Mgonjwa kwenda kuwaona hiyo hospital walishangaa.
Ila matepeli ni watu majasiri sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka ulihadithia hii😂😂😂Utapeli na ujanja upo upo sana nakumbuka Maxence mwenyewe alishawahi kutapeliwa na Member wa humu mwaka 2011 , akahamaki na kutukana na akalambwa BAN 🤣🤣🤣
Sikutegemea mngetapeliwa kizembe hivyo