ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Wanachama wazoefu wa JamiiForums huwa wanagundua au kuhisi mtu anatumia akaunti tofauti kwa kuangalia viashiria vifuatavyo:
  • Mfumo wa uandishi (Writing Style): Matumizi ya maneno yale yale ya siri, makosa ya kisarufi yanayofanana, au jinsi mtu anavyopangilia hoja zake.
  • Muda wa kuonekana mtandaoni: Akaunti moja inapoacha kuchangia, nyingine inaingia hapo hapo na kuendeleza uzi au kubishana na watu wale wale.
  • Kujibu hoja kwa niaba: ID nyingine inapoingia kumtetea mtu fulani kwa hisia kali sana kana kwamba ni mtu yule yule anayejishuku.
  • Kada na maoni: Akaunti zinazotetea au kushambulia upande fulani (kama vile siasa au mahusiano) kwa kutumia hoja na mifano inayofanana kkabisaView attachment 3668127
Upo sahihi I'd tano zinatumia mwandiko mmoja wa 'nonsense' kila sentensi kwann usijulikane.
 
Wanachama wazoefu wa JamiiForums huwa wanagundua au kuhisi mtu anatumia akaunti tofauti kwa kuangalia viashiria vifuatavyo:
  • Mfumo wa uandishi (Writing Style): Matumizi ya maneno yale yale ya siri, makosa ya kisarufi yanayofanana, au jinsi mtu anavyopangilia hoja zake.
  • Muda wa kuonekana mtandaoni: Akaunti moja inapoacha kuchangia, nyingine inaingia hapo hapo na kuendeleza uzi au kubishana na watu wale wale.
  • Kujibu hoja kwa niaba: ID nyingine inapoingia kumtetea mtu fulani kwa hisia kali sana kana kwamba ni mtu yule yule anayejishuku.
  • Kada na maoni: Akaunti zinazotetea au kushambulia upande fulani (kama vile siasa au mahusiano) kwa kutumia hoja na mifano inayofanana kkabisaView attachment 3668127
Hatari sana
 
Kila ID nakununulia chupa 10 za dengelua au sahani tano za makande au perege 10. Unataka kipi, uchaguzi ni wako
1789083285050.jpg
 
Back
Top Bottom