ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Ila wanawake tunavumiliaga mengi sana 😆 😂
View attachment 3667816

Kuna mwingine huyo ni mtu namheshimu, nimerudi JF nikagundua ID yake ya pili, kutwa yuko selfika anawaomba picha nyie wadada mnaopitaga naked, nikajisemea yani mijitu ya humu ni 🚮 🚮 🚮
Anatubembeleza kwa machozi🤣🤣🤣
Ndio jamii ya specie za humu, ila kujipa umuhimu sasa kujifanya wanamjua mtu🚮🚮
 
Hivi nguvu ya kumtumia mtu hela online hua mnazipatia wapi watanganyika wenzangu.

Mi nikitoa nipate na chotaka hapohapo. Huna iyo bidhaa mtasubiri waliyonayo walete ninue kitu nachoona.
Yaani ni rafiki yangu wa alimost 4 years. Alishanipa dada mmoja nikamsaidia kumuandikia project yake ya masuala ya wanawake (initiatives) Nikalipwa hela kadhaa.

My bad nilimwamini sana.
 
Back
Top Bottom