ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Why can't you just be real!? Woga wa nini sass😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..

ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
Wewe unazo ngapi?
 
unakuta unazinguana na ID Moja gafla zinakujia ID 5 kukushambulia unajiuliza hawa watu vipi kumbe ni mtu mmoja bana😁
hao wasenge mimi huwa siwapi nafasi, kila id yake itakula matusi na maudhi iwe id yake yakujifanya wa heshima au choko au mwehu, naruka nazo zote mpaka anakuwa hana raha ya kuandika humu hata alete mada ya kichungaji natumbikia humo kuvurugavuruga
 
Back
Top Bottom