ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Why can't you just be real!? Woga wa nini sass😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..

ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
😆😆😆😆
 
😂😂😂😂😂 Heee sasa kulikuwa na haja gani kusema anataka kukulipa?

The Monk Njoo hapa nahisi kama jamaa yetu yupo humu, iweje anitext kuwa anataka kunilipa lile deni halafu apotee hadi leo?

Nilicheka sana ulivyoniambia subiri uone kama utalipwa 😅😭
Kumbe ndo maana huwa unanikatalia pm, kwa sababu ya watu aina hii? 😂
 
Ndio hafu mwisho wa vyote ba mchungaji anaomba kyumer🙃
Screenshot_20251220-140715~2.jpg

Ulimpa?
 
Ila wanawake ni rahisi kurubuniwa binti kiziwi akachezea 3.4m uuuuuh!

Nimeumia kuona kuna members wapo humu for a special mission, kuibia na kutapeli watu. Binafsi nikiona pm ya kuomba nina jibu moja tu.
Mkuu ni ya kweli haya? 😂
Alichezewa yeye au ni yeye alichekecha kwa wazembe?
 
Hahaha nimecheka sana, sijui hata mnafanyaje! Kweli wanawake ni easy target!!
Mnafanyaje kuhusu nini mzee? watu wakavu na hawajali wala nini! Sio kila mtu ni easy target, mindset ya mpumbavu ndio alikuja kihivyo! Mbona wamesanuana! Anajiamini watu hawaambiani, wakati katika watu wepesi kupashana habari za uongo na kweli ni wanawake!
 
Ila wanawake ni rahisi kurubuniwa binti kiziwi akachezea 3.4m uuuuuh!

Nimeumia kuona kuna members wapo humu for a special mission, kuibia na kutapeli watu. Binafsi nikiona pm ya kuomba nina jibu moja tu.

Hata hakusema awali, nikawa nikikutana na mtu naona anazidi kuwa mwekundu na ananyong'onyea kimya kimya kumbe ameshatengenezwa.

Imagine jamaa akarudi tena ki gentleman anataka arefund utapeli, bado akashindwa kuhifadhi ufedhuli wake, akazidi kuharibu.

Ila unaweza usiamini jamaa anawezakuja kupiga tena pesa kwa binti kiziwi na akafanikiwa, hasikii kwa vile ni kiziwi
 
Wanaamini mapema sana.
Kuna demu nilikutana naye insta ni mkenya! Anaishi ujerumani paperz zake zilikua zinakaribia isha.

Akaniambia huko tz huwezi ni tafutia mganga na muwewangu anaishi nae ana cancer lakini ni mtu mzima sana hatuwezi pata mtaalam akafanya namna akanioa ndoa rasmi ili aendee baki ujerumani, alikua kabikiza kama miezi 4 .

Nikamwambie nirushie kadhaa za survey niende mkoa flan nikaangalie,

Sister alinirushia na kumbuka 500k Nikajisemea huyu mtu kirahisi tu katuma. Wanawake wanamiamini mtu mapema sana
 
Hata hakusema awali, nikawa nikikutana na mtu naona anazidi kuwa mwekundu na ananyong'onyea kimya kimya kumbe ameshatengenezwa.

Imagine jamaa akarudi tena ki gentleman anataka arefund utapeli, bado akashindwa kuhifadhi ufedhuli wake, akazidi kuharibu.

Ila unaweza usiamini jamaa anawezakuja kupiga tena pesa kwa binti kiziwi na akafanikiwa, hasikii kwa vile ni kiziwi
Easy come easy Go
 
Back
Top Bottom