😂😂😂😂😂Sana parefu ndio maana The monk ananitania nilivyoahidiwa kulipwa nikaanza kupiga hesabu za kununua brazilian 😂
Yupo fiti kote kote 😁😁Sio bangi huyo kubishana naye kwa hoja mpaka ujipange! Na ukimkuta anaandika ujinga inabidi uwe mpole😬
Mi sikuchanga😂😂😂Alipokosea ni pale alipokazania michango halafu muda mwingi hayupo hospital.. Nakumbuka Dada ulichanga pia🙌🏿😀
Kwa jinsi unavyo scan comments majukwaa mbalimbali utakuwa umenasa wote 😂Waraka wangu kwa wote wenye ID rundo🤣
Wanachama wazoefu wa JamiiForums huwa wanagundua au kuhisi mtu anatumia akaunti tofauti kwa kuangalia viashiria vifuatavyo:Ketamine
I hope umeshapata muongozo sio wa JF babes 😅Mimi naomba nimjue huyu mnayemzungumzia jamani
Kwa asili ni tapeli mimi tu sikuwa najua, alinipangia mpango wa muda mrefu, Au labda hakupanga kunitapeli ila once tapeli always tapeli. Ukikosa wa kuwa tapeli unatapeli watu wako wa karibu.Duh
Nini Sasa kimemsibu hadi amekuwa tapeli🥹
Kumbukumbu za JF hazipotei😂
Mchokozi wewe 😂😂😂😂Dah😂😂😂😂na kale karangi kake
Itakuwa alikuwa mwekundu kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
NdiyoI hope umeshapata muongozo sio wa JF babes 😅
Mtu anamtapeli mdada mzuri na mpole hivi.Mchokozi wewe 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Kwa asili ni tapeli mimi tu sikuwa najua, alinipangia mpango wa muda mrefu, Au labda hakupanga kunitapeli ila once tapeli always tapeli. Ukikosa wa kuwa tapeli unatapeli watu wako wa karibu.
Utapeli na ujanja upo upo sana nakumbuka Maxence mwenyewe alishawahi kutapeliwa na Member wa humu mwaka 2011 , akahamaki na kutukana na akalambwa BAN 🤣🤣🤣Ndiyo
Nimesoma kwa makini.
😂💔💔Mtu anamtapeli mdada mzuri na mpole hivi.
Ila watu wa Singida mmejua kutuangusha🤣💔
Enheeee 😂😂😂😂Utapeli na ujanja upo upo sana nakumbuka Maxence mwenyewe alishawahi kutapeliwa na Member wa humu mwaka 2011 , akahamika na kutukana na alalambwa BAN 🤣🤣🤣