ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Gilesi aliyejaaliwa... 😀😀😀😀
35105140-e4ca-4a97-b025-05514041f891.jpeg
 
Seran Christine_1 why huyo mtu mnamficha, waambieni wenzenu ili aue ID zake zote aanze upya.

Nilisikitika sana nilivyojua na mimi ni target 🥹😭

Sema nini mwanetu kwangu utakula comments tu jukwaani hakuhakikishia.
Bado tunaugulia, wengine ukiwaambia wananuna na kutengeneza uadui wanahisi unawazibia rizziki! Ningejua ningeacha walombwe tu🤣🤣
 
Yani, msiamini watu humu, hata urafiki kuwa nao makini, si kwa wanawake, si kwa wanaume.
Nimeona juzi umeambiwa una rafiki zako kindakindaki, hongera wenzio hatujawahi kubahatika kupata marafiki😂😂😂

Ni washenzi over! Atleast the other gender kuna watu mnaongea mambo ya msingi mnafanya project za kueleweka biashara inaishia hapo!
 
Back
Top Bottom