Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,661
- 36,596
Mganga wa kwanza Tajiri Duniani.Mbona nilituma ad risit ya malipo ndo mwana akaona aje na utambulisho mwingine anipe kizinga
Mganga wa kwanza Tajiri Duniani.Mbona nilituma ad risit ya malipo ndo mwana akaona aje na utambulisho mwingine anipe kizinga
Ninazo ID Tano humu. Nitajie 2 tuWhy can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!
ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿♂
ID za uzinzi nknk..❗❗❗
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako❗
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
hahahahahaha,Ninazo ID Tano humu. Nitajie 2 tu
BICHWA KOMWE mbamizwa katumeni Tumsifu Yesu kristoMi huwa naiogopa id yake sio
Siri😂
Sio bangi huyo kubishana naye kwa hoja mpaka ujipange! Na ukimkuta anaandika ujinga inabidi uwe mpole😬Kuna mahali nilimkuta anabishana Dr mambojambo kuhusu cancer.. nkasema kumbe zipo.
Halafu kuna watu watasingizia eti ni bangi 🤦🏾♂️😂
Inawezeakana ndio kibarua chao na cm wanapigiana waiwahi post kabla haijafika kurasa ya pili😬😁 😁 hao watakuwa wana group la whatsap wanapeana taarifa ....maana mbogamboga wote ukiwagusa tu wanakuja spidi kwa wakati mmoja kama siafu
Umeamka sio?😅BICHWA KOMWE mbamizwa katumeni Tumsifu Yesu kristo
Nimeamka mamnyong'ode ndo nakanda ngano jua linaungua nikaangr vitumbua 😅Umeamka sio?😅
Vitumbua huwa havipikwi na ngano ushazingua😂Nimeamka mamnyong'ode ndo nakanda ngano jua linaungua nikaangr vitumbua 😅
Unga wa vitumbua haukandwiNimeamka mamnyong'ode ndo nakanda ngano jua linaungua nikaangr vitumbua 😅
Tutamuuliza zuchu 😅Unga wa vitumbua haukandwi
Vitumbua ni nn 😂Vitumbua huwa havipikwi na ngano ushazingua😂
Hahaha zile sambusa, wa kishua hujui vitumbua🙄Vitumbua ni nn 😂
sikujua kitofautisha vitumbua na vile vya kupikwa km triangle