Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 31,584
- 90,448
Uzuri mi taarifa zangu anazo sitomchekea hiyo siku!Na tutamjua
Kuna muda nimemuona
Uzuri mi taarifa zangu anazo sitomchekea hiyo siku!Na tutamjua
Kuna muda nimemuona
Mi nimerudisha tu yangu ya zamaniDadeq🤣🤣🤣🤣,nimebadili username,,,,,raia anakusanukia we Fulani😁
Huwa wanasema na ela ya kula ukikaa week mbili unakuta id imebadli mimi sifuti pm ili nijionee miujiza ya jf😎Matapeli hasa waomba hela wa humu wanafahamu exactly kitu ambacho akikwambia kitakugusa.
Kuna ID alisema mkewe mjamzito au kajifungua sikumbuki vizuri, Binafsi ameshanifata kwa ID tofauti kwa script moja. Watu wa JF wana akili sana walishamshtukia, mi nikawaambia hamuwezi jua labda mtu ana shida kweli, nikamtumia na ni hela ndogo tu nadhani ilikuwa 15 K. Mara ya pili nikamuignore siku ya siku naangalia PM yangu naona mbona hii ID imebadilika imekuwa nyingine?
Mkuu unaroho nyeupe sanaTrue story kuhusu multiple IDsp
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahau😂😂🙌🏿 kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10K❗
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuru😂😂😂 Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! 🙌🏿
Eeh,Bora wewe unajulikana😁,,T,T.Mi nimerudisha tu yangu ya zamani
Zote zimeshazoeleweka ht hivyo hakuna ubaya
Mbona kama mshanaaWhy can't you just be real!? Woga wa nini sass😀🙌🏿❗
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..
ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿♂
ID za uzinzi nknk
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
Heheheheh njoo uone Christine_1 sio yule mtu wetu kweli na ahadi za ma parfume yake ya laki 2 sijui 5 kumbe hata pa kukaa hana😂😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️Alisema he wanted to make things right, he is kind of matured na nini he is looking into new beggining, haaaa ukaanza kuchagua abaya ns nywele za brazil mara unaulizia bei maproduct ya gucci sijakaa sawa channel sijui mavitu ya mbele huko...nikakwambia tuliyaaaa, kaa kimya uone kwanza muamala, na akikulipa nahamia kwa mswati. Kiko wapi?
Shenzi tabia za watt wa miaka 15 wanaobalehe mtu mzima haoni aibuUzuri mi taarifa zangu anazo sitomchekea hiyo siku!
Yani alikupigia akusanue kwamba amekutapeli.Tapeli ni tapeli tuu😀
What happened 😁Heheheheh njoo uone Christine_1 sio yule mtu wetu kweli na ahdi za ma parfume yake ya laki 2 sijui 5 kumbe hata pa kukaa hana😂😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Na wewe🤣🤣🤣Hivi kumbe jf kuna mchongo na hamsemi?
Niliona nikatulia, ulikuja mpole sana ikawa ngumu kukutambua, ila ningekutambua tu😂Dadeq🤣🤣🤣🤣,nimebadili username,,,,,raia anakusanukia we Fulani😁
😆😆😆😆😆 Wewe ni nabii!Alisema he wanted to make things right, he is kind of matured na nini he is looking into new beggining, haaaa ukaanza kuchagua abaya ns nywele za brazil mara unaulizia bei za maproduct ya gucci sijakaa sawa channel sijui mavitu ya mbele huko...nikakwambia tuliyaaaa, kaa kimya uone kwanza muamala, na akikulipa nahamia kwa mswati. Kiko wapi?
Nipe codi rafiki yanguNa wewe🤣🤣🤣
Mkuu, kuna mtu kakupiga nini?Tapeli ni tapeli tuu😀
😄😄😄😄atakua ninyeyeHeheheheh njoo uone Christine_1 sio yule mtu wetu kweli na ahdi za ma parfume yake ya laki 2 sijui 5 kumbe hata pa kukaa hana😂😂😂🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Mambo yako haya mwananguView attachment 3667789
😆😆😆😆😆 Wewe ni nabii!
Nilishajiona navohamisha hela kwenye saving account yangu inavimba!
Kumbe ni tabia yao, nadhani kuna muda guilty fulani inawashika, ila kama alivyosema ankali Mshana, Tapeli ni tapeli tu.