ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Why can't you just be real!? Woga wa nini sasa😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self...!
Your reaction...!
Your handwriting...!
Your cycles...!
Your puppetism...!

ID ya kusifu watu.
ID ya kutukana na kukashifu.
ID ya mizinga.
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk..❗❗❗

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako❗
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
Mnazijua nyinyi nani na so what? Huo ushamba kapeleke huko kwenu madongo poromoka hatishwi mtu hapa jf.
 
Back
Top Bottom