Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.
Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.
Nikascreenshot msg nikamtumia
The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.
Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅