ID zenu nyingine tunazijua

ID zenu nyingine tunazijua

Heheheheh njoo uone Christine_1 sio yule mtu wetu kweli na ahadi za ma parfume yake ya laki 2 sijui 5 kumbe hata pa kukaa hana😂😂😂🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.

Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.

Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.

Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅
 
Why can't you just be real!? Woga wa nini sass😀🙌🏿❗

ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..

ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu feki🙌🏿🙆🏿‍♂
ID za uzinzi nknk

Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?😂

Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi

ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...😂View attachment 3667736
ok. :1Head:
 
Kuna siku nilimkuta anamwmabia Binti wa zamani sijui ampeleke wapi ana kama mil 200 hivi hazina kazi nikamsanua chapchap ndio akamshtukiaga, kuna mtu naye nilimsanua nusu aliwe saiz eti kanigeuza adui ila jf🙌🏾😂
😂 😂 😂 Nimecheka mpaka nimekaa chini, huyo mtu mwenye milioni 200 sasa 😆
JF kuna ujinga mwingi sana!
 
Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.

Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.

Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.

Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅
Jamani ila binadamu bana! Pole sana ilishanikuta na mimi mara mbili au tatu kwenye kuagiza vitu vya biashara na cm ya kutumia mpaka kesho sifanyi hiyo biashara!
 
Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.

Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.

Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.

Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅

Sasa waambie waheshimiwa majaji kwamba na mimi aliniingiza king, kidogo nivurugane na wife najua nna rescue mwamba kumbe naingia mkenge.(Ila wanawake mmepewa namna ya kutambua hatari na michongo feki) niliambiwa kabisa mbona huyu mtu kama mission town? Ntasikia sasa.
 
Back
Top Bottom