Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Hakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.

Labda online kwa trusted sources.
Na si hilo tu mkuu. Utatunaje hela bila kuona quality ya mzigo? Halafu mbona mizigo kama hii sio adimu kihivyo? Nadhani hili liwe fundisho kwa mtumaji
 
hukuchemka mkuu ni kwamba ulikutana na asiye muaminifu.
Mimi mbona nishanunua bidhaa nyingi mtandaoni na zikanifikia vizuri tu.
sema watu wengine siyo waaminifu mbona wenzetu nje unaingia ebay unachagua kitu unalipia na unapata bidhaa yako au alibaba.
yani hawa matapeli ndio wanachafua biashara ya watu.
Siku hizi kuna watu wanatuma bidhaa mikoani ila hakikisha pia wana maduka au office zao zinazojulikana inakuwa ngumu kukutapeli.

Hata mimi si mara ya kwanza kununua sema ndio hivyo siku ya kufa nyani
 
Na si hilo tu mkuu. Utatunaje hela bila kuona quality ya mzigo? Halafu mbona mizigo kama hii sio adimu kihivyo? Nadhani hili liwe fundisho kwa mtumaji

Sema tu hayajakutokea, kwan wewe hujawai mtumia demu nauli na hakuja? Haya ni matokeo tu
 
nimetoka kumcheck sasa hivi nimekuta kuna nguo anauza laki 2 ila kuna njemba imesema ina laki,dada kakubari kumuuzia kwa laki,hv hapo picha ya utapeli watu hamuioni?

Bora umefanya utafiti kuliko hawa wanaoponda tu, TCRA pamoja na taarifa hizi hope watalifanyia kazi
 
Mpaka mtu anakataa kupokea Simu yako bado hujajua kama tapeli? Huyo sio mwanamke ni dume linatumia tu Jina la kike,
 
Hakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.

Labda online kwa trusted sources.
Dah......hawakukosea kabisaaa😎
 
Mbona TCRA wako Humu ndani? Nimekusaidia kuwa tag, ngoja tuone huenda wakawa na cha kujibu!
 
"3KA8B77X32 Imethibitishwa.
Tsh75,000.00 imetumwa kwa
TIGO PESA kwenye akaunti
namba 0656494270 tarehe
10/11/16 saa 2:36 PM. salio
lako la M-Pesa ni Tsh"

hii meseji nayo imekaa kitapelitapeli...au naona peke yangu wakuu?
anyways pole kwa kuibiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom