alwatan yusuf
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 347
- 290
Ulipumbazwa na uzuri WA picha maduka hukuyaona
Hivi akiwa mwanamke au mwanaume, what value does IT add ?? Suala hapa ni kuwa anawaibia watu. Mtu kuibiwa na mwanamke au mwanaume, YOTE NI KUIBIWA TUHuna uhakika gani kuwa ni mwanamke?
Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
Maneno yako sio mazuri. Tunafanya biashara za mamilioni bila kuonana na pande zote mbili zinaridhika.Ngozi nyeusi siwezi kuiamini kutuma kitu chochote kama hatufahamiani hata kidogo.
Mkuu kiukweli sisi weusi ni waongo sana, hata mimi nilishapigwa sana kwa njia hizi hizi.Maneno yako sio mazuri. Tunafanya biashara za mamilioni bila kuonana na pande zote mbili zinaridhika.
Sema baadhi. Usijumuishe.Mkuu kiukweli sisi weusi ni waongo sana, hata mimi nilishapigwa sana kwa njia hizi hizi.
Wewe mchagga?Kwa kweli watu tumetofautiana siwezi kununua kitu bila kukiona kwa macho na niombe kupunguziwa bei labda kwa sababu ya kabila langu.
akili za ku,ku hiziHiyo n M pesa kwenda Tigo, hacha kuwa kila,za
We kaskazini niniKwa kweli watu tumetofautiana siwezi kununua kitu bila kukiona kwa macho na niombe kupunguziwa bei labda kwa sababu ya kabila langu.
Ahahahahaaa umenikumbusha mbali sana mkuu.Kwanza mtu mwenyewe ana namba nyingi sana inakuaje unamuamini h ha ha ha we muhaya wamekuingiza mjini
Sana aiseeetii kesho natuma Viatu Arusha ili akulengeshe vizuri!na kweli mwanaume ukaingia kingi!Pole saana mkuu!no sawa umetoa sadaka!msamehe!Nina uhakika umeshajifunza
Basi wabongo wote matapeli, hakuna mwenye namba mojaAhahahahaaa umenikumbusha mbali sana mkuu.
Kuna bosi wangu mmoja juzi kaniambia ukiona mtu ana namba ya simu zaidi moja ujue huyo ni tapeli na mwizi.