Tapeli: Manase Jackson, kuweni makini

Oldskul

Member
Jan 12, 2013
85
153
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.

Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
 
Wajumbe salaam,

Kuna mtu anaenda kwa jina la manase jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani).... Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu... Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.....

Watch out people.... Ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.....

Vyombo husika kama mpo chukueni hatua... Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu... Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.....
Toa habari kamili, anafanyaje?
 
Na HUYU HIVI NI KWELI AU KESHALIZA WATU WA DAR


*VODACOM MEGA BUNDLE*
1400min to all networks.
10000 sms.
5GB data
Valid for 1 month.
Price 9000Tsh only
*AIRTEL MEGA BANDO*
300min all Networks
300 SMS
12GB
Valid for 6 month
Price 9000tsh.
*NOTE :KAMA UPO MKOANI USINITAFUTE THIS OFFER IS FOR DAR ONLY.I HAVE TO CONFIGURE YOUR SIMCARD MANUALLY SO WE HAVE TO MEET*
Call 0713388226
 
Back
Top Bottom