Hujawai kuwa bzy weweViatu navyo had I utumiwe kwenye vifurushi,,
Wee ulipenda kutapeliwa
Mbona wale wanaotukana kwenye fb wanakamatwa na kufunguliwa mashitakaTCRA HAWANA TEKNOLOJIA YA KUKAMATA WAHARIFU WA MTANDAONI HAPO WEWE JIONGEZE UMKAMATE MWIZI WAKO
Hiyo n M pesa kwenda Tigo, hacha kuwa kila,za"3KA8B77X32 Imethibitishwa.
Tsh75,000.00 imetumwa kwa
TIGO PESA kwenye akaunti
namba 0656494270 tarehe
10/11/16 saa 2:36 PM. salio
lako la M-Pesa ni Tsh"
hii meseji nayo imekaa kitapelitapeli...au naona peke yangu wakuu?
anyways pole kwa kuibiwa.
Ndio uwezo wako wa kufikilia umeishia hapoKama huyo ni jirani yako mgonge mlango mmalizane. Acha kulalama huku... Wewe ulikuwa ukolezwa na mapaja na weupe wake.. Hakuna biashara hapo
Pouwa mkubwaUkitaka kununua kitu tafuta jamaa yako alio mkoa huo umwombe akakinunue akutumie yy ila usiwaamini hao wahuni
Pole sana mkubwa, tatizo watanzania kila kitu wanaona n mzaa tuView attachment 437111
Mimi mwenyewe nimetapeliwa na hao jamaa kupatana sina hata hamu
Pamoja sana ndg.Pouwa mkubwa
Oh yeah....? Unaendaga Marekani mara kadhaa kwa mwaka?
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Kaka mbona kama Elimu yako ndogo hivi umeona tu picha tena Facebook ukaamini....isitoshe upo dar kuna Maduka Mengi sana ya hivyo viatu unaamua tu kutuma PESA kwa MTU ambaye haumuoni unamuamini tu....daaah utakuwa na PESA nyingi sanaView attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.
Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania
Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa
"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"
Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,
Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi
Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika
mkuu mbona picha hiyo namwona Ben Pol na video director Joowzey?View attachment 437111
Mimi mwenyewe nimetapeliwa na hao jamaa kupatana sina hata hamu
Kwahiyo unategemea nani ndio awe na ujasili wa kutuma mzigo bila kupata kwanza pesa?Hakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.
Labda online kwa trusted sources.