Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Hebu ngoja nichukue namba za Monica za Whatsapp wakati wewe unalalamika umetapeliwa mimi nimeona fursa nyigine hapo kwenye picha yake aliyokaa

Ila pole mkuu ndio maisha
Ila kwa uandishi wake hiyo University of Dar es Salaam atakuwa amesomea ya Mkuranga kama ipo sio Mlimani tunayoijua
Sasa kwa akili zako unafikiri iyo Picha ndo mwenyewe,siku zote Tapeli ni mtu aliyejianda na usikute ata shule ajahudhuria.
 
Pole mkuu....nakumbuka weeks kadhaa uliletwa uzi hapa member mmoja ametapeliwa chapaa ametuma akiahidiwa atatumiwa TV. Ushauri ulitolewa usinunue bidhaa mtandaoni bila kujirishisha. Mkuu wewe kwanini ulikurupuka? Hiyo raba uliiona nzuri sana ukashindwa kung'amua utapeli mwingi kwenye mitandao? Sasa utakuwa umetia akili hutofanya tena kosa kama hili.
Nimeshakoma mkubwa
 
Hakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.

Labda online kwa trusted sources.

Mkuu kuna wengine wao ' naturally ' ni Watu tu wa kuibiwa ibiwa kila mara hata kama utawapa ' ulinzi ' wa ' Roho Mtakatifu ' au wa ' Kalumanzira '. Acha Dada Monica ' awanyooshe ' ili ' wachangamke '.
 
Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
Mmmh!
Mwenendo wa kizamani sana huu ukilinganishwa na zama za mitandao tuliyopo sasa. Especially kama una maanaisha physical check. Kwa mfano, wanunua magati yaliyotumika kutoka ktk nchi za Ualaya na Asia sinauhakika kama wanatumia hilo wazo lako kama kukagua una maanisha phyisical check kaka!
 
Mkuu kuna wengine wao ' naturally ' ni Watu tu wa kuibiwa ibiwa kila mara hata kama utawapa ' ulinzi ' wa ' Roho Mtakatifu ' au wa ' Kalumanzira '. Acha Dada Monica ' awanyooshe ' ili ' wachangamke '.
Ha ha ha bahati mbaya tu, ila hope hata wewe ulishawai kulizwa
 
Ata Mimi niliona tangazo la bidhaa za NGUO na VIATU vya wanaume. Nikasema ngoja nimtest kma ni tapeli au laah.ukimpigia simu hapokei yy Anataka mchart kwa msg tu,nikimuuliza DUKA liko wapi nije nikague mzigo anapiga chenga Anataka nimtumie ela ndipo atume mzigo nikajua huu utapeli nikatemana nae
 
Mmmh!
Mwenendo wa kizamani sana huu ukilinganishwa na zama za mitandao tuliyopo sasa. Especially kama una maanaisha physical check. Kwa mfano, wanunua magati yaliyotumika kutoka ktk nchi za Ualaya na Asia sinauhakika kama wanatumia hilo wazo lako kama kukagua una maanisha phyisical check kaka!

Huyu inaonyesha hata gari hana
 
Ata Mimi niliona tangazo la bidhaa za NGUO na VIATU vya wanaume. Nikasema ngoja nimtest kma ni tapeli au laah.ukimpigia simu hapokei yy Anataka mchart kwa msg tu,nikimuuliza DUKA liko wapi nije nikague mzigo anapiga chenga Anataka nimtumie ela ndipo atume mzigo nikajua huu utapeli nikatemana nae

Hongera mkuu kwa kulitambua mapema
 
Hiyo lugha ya 'my' imetokea wapi?? Vijana bwana, hamuishi kunishangaza. Eti ''nitakucall my'', ''Morning my''!! Sasa ndio nini?

Hata mimi sikujua imetoka wapi, hapo ni baada ya malipo
 
Hivi unawezaje kufanya biashara na mtu ambaye humjui tena mbongo eti kwa kutumia mtandao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom