Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,976
- 51,174
Wewe unaona ni nani hasa, mm nimeongea nae kama vp nawe mpigie kwa hizo namba
Kuna wanaume wana sauti kama wanawake, wanatumia fursa hiyo kutapeli
Wewe unaona ni nani hasa, mm nimeongea nae kama vp nawe mpigie kwa hizo namba
Hebu ngoja nichukue namba za Monica za Whatsapp wakati wewe unalalamika umetapeliwa mimi nimeona fursa nyigine hapo kwenye picha yake aliyokaa
Ila pole mkuu ndio maisha
kwa uandishi wake hiyo University of Dar es Salaam atakuwa amesomea ya Mkuranga kama ipo sio Mlimani tunayoijua
hahaaa eti anamvuto na nimzuri hivyo hata akikuibia unaona sawa tu..Mkuu ni hili hili tu au labda ulimwomba ' mbunye ' na ' akakutosa ' na sasa umemchenjia umeamua kumchafua? Hivi kwa mfano huo ' ushahidi ' wako wote ungeupeleka kwanza TCRA au Police ' kitengo ' maalum unadhani usingepata msaada mkubwa zaidi kuliko wa huku? Binafsi nahisi kama vile kuna lililojificha nyuma ya hili kwani naamini kama ni ' Matapeli ' au ' Wezi ' wa aina hii wapo wengi sana katika maeneo mbalimbali na wanajulikana tena hata kuliko huyo Dada wa Watu. Watanzania tumeshazoea ' kuibiwa ' Mkuu na tumeshaibiwa miaka 50+ iliyopita hivyo hatujaona ' jipya ' hapo. Na mwisho nikuambie tu kuwa unaweza ukadhani kuwa labda umemkomoa kwa kumchafua ila nikuhakikishie tu kuwa umempa ' promo ' ya kufa Mtu na atapata sasa ' Wateja ' wengi mno. Kwanza ana mvuto na ni mzuri hivyo hata akikuibia unaona sawa tu!
mkuu nimefuatilia mjadala wako kwanza nakupa pole ""Hayo ni matokea, inawezekana wewe ulishaibiwa kizembe zaidi ya hii
hahaaaa mbaya zaidi umri jua LA utosiWewe mwanamke mzuri hivyo awe na status 'Single' bado umuamini tu!!, WAKE UP BROO!!!
umesema kweli kabisa, wawezeja kumtumia mtu pesa wakati si source ya kuaminika iliyosajiriwa, biashara watu wa hivo huwa tunawambia leta mzigo uchukue pesa ,kama ni mtu serious ataletaHakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.
Labda online kwa trusted sources.
mkuu umesharipot police lakini? , tena ungefanya hivo kabra ya kuposit mkamuwekea mtegoView attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.
Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania
Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa
"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"
Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,
Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi
Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika