strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Ushaibiwa akizembe
mkuu hizo ni lugha za upigaji.Mmeanza kuitana my?
Umeibiwa kizembe mno mkuu
Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
Mitandaoni wanalizwa wengi tu. Mie bora nibaki analogy ila kununua bidhaa mtandaoni labda iwe kampuni inayoaminika
Kumbe malalamiko kuwa hali pesa ni ngumu uraiani siyo kwa watu wote ni baadhi tu.
Watu wana pesa za kuchezea tu online 'patapotea'
Utapeli wa kawaida tu huo kwa ktk mitandao kwa wenye tamaa,wewe umeona mapaja nje ukaona ni rahisi rahisi hatimaye umetapeliwa.
Arusha Maduka ya viatu vya michezo yapo mengi tu tena mazuri,vitu vingine tunavitafuta wenyewe.
Huyu mtu yuko dunia ya ngap jmn had unaibiwa!! Those are scammers na wako wengi kwa mitandao na pengine ni dume we unahis mwanamke kwani hujui kuna wanaume wanaigiza sauti za kike na huamin kama ni dume lol pole kaka b careful wit social netwks!!!!
Ushaibiwa akizembe
Mchezo wa kutuma pesa kwanza nimeshaukataa kitambo sana
Nashangaa watu hawakomi
wewe unanunua kitu facebook au instagram nani ana linda mteja