Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,441
- 38,419
Mwanzako kapigwa huko afu wewe unamtania, ngoja aje!ulivutiwa na viatu au na muuza viatu tuanzie hapo kwanza
uwiiiiiii usinimeze pole
Mwanzako kapigwa huko afu wewe unamtania, ngoja aje!ulivutiwa na viatu au na muuza viatu tuanzie hapo kwanza
uwiiiiiii usinimeze pole
tehe tehe tehe tehe kayataka mwenyewe, sijui rangi ya kidhungu ilimchanganyaMwanzako kapigwa huko afu wewe unamtania, ngoja aje!
Uwezekano wa hilo ni mkubwa mkuuUkute dume hilo
Ndo umtafute sa umfariji!tehe tehe tehe tehe kayataka mwenyewe, sijui rangi ya kidhungu ilimchanganya
ebay, alibaba, na website nyingine uwa unakagua?Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
ebay, alibaba, na website nyingine uwa unakagua?Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
ebay, alibaba, na website nyingine uwa unakagua?Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
Viatu tu mkuuulivutiwa na viatu au na muuza viatu tuanzie hapo kwanza
uwiiiiiii usinimeze pole
ebay, alibaba, na website nyingine uwa unakagua?
Watanzania matapeli matapeli wanaharibu biashara ya mtandao kwa kutotuma mizigo ya watu au anakupa details za uongo otherwise ni biashara nzuri
Hivi kweli hivi bidhaa hazipo madukani au ndio ubusy lol
huyo sio mwanamke ni mwanaume anayeshirikiana na mwanmke kutapeli
View attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.
Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania
Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa
"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"
Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,
Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi
Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika
Ha ha ha cdhani kama ndio yeye we ingia fb then chat naehuyu ukimkamata unaita masela wamle mande tu
Huna=una ; kiswahili please na chenyewe ni shida?!Huna uhakika gani kuwa ni mwanamke?
hukuchemka mkuu ni kwamba ulikutana na asiye muaminifu.Kweli mkubwa hapo ndio nilichemka
hukuchemka mkuu ni kwamba ulikutana na asiye muaminifu.Kweli mkubwa hapo ndio nilichemka
Pole sana Ila kwa text mlizo chat ... Fastjet hawatumi parcel naongea with experience
Fastjet haitui Arusha ....Nine ajiriwa zamani store Tanzania tuna uza vitu daily Facebook and Jumia ....
Unapotumiwa mzigo na MTU jaribu kuangalia ana offer njia gani ya usafiri na he INA fika eneo lako, usafiri was Bus ni mzuri kwani unapewa mamba ya mzigo. Usafiri wa Prcsionair ni mzuri kwani unapewa risit ambayo INA onesha confirmation ya kutuma mzigo. Though wazingua sana at times. Pia ogopeni sana +254