Kwa nini? Nimesema ukweli. Ningetapeliwa si ningekuja kama ta kamugisha alivyokuja?Hahahaha umenchekesha
Kwa nini? Nimesema ukweli. Ningetapeliwa si ningekuja kama ta kamugisha alivyokuja?Hahahaha umenchekesha
Doooh huwa siwaamin wafanya biashara wa mitandao hatakidogo
"Huna" uhakika gani kuwa ni mwanamke?Huna uhakika gani kuwa ni mwanamke?
Teh teh teh.Hebu ngoja nichukue namba za Monica za Whatsapp wakati wewe unalalamika umetapeliwa mimi nimeona fursa nyigine hapo kwenye picha yake aliyokaa
Ila pole mkuu ndio maisha
kwa uandishi wake hiyo University of Dar es Salaam atakuwa amesomea ya Mkuranga kama ipo sio Mlimani tunayoijua
Ebw eeh!Aina shida bora yako ambae siyo boya, ila nina uhakika ulishawai tapeliwa zaidi ya hii
Vipi hii ya kununua kutoka www.jumia.co.tz halafu unalipa kwa tiGO pesa?,imekaaje hiyo?Mimi nawaamini pale tu nitakapokuwa na uhakika na credit card yangu kama pay pal nishanunua vitu sehemu nyingi duniani kuanzia marekani uingereza ujerumani ufaransa ila kama ni nchi za kiafrica siwaamini kawaida pay pal wanakupa bima ikiwa umenunua kitu halafu mzigo haukuupata wanakurudishia hela yako au ukinunua kitu wakakuletea si kile ambacho unakihitaji wanawajibika wao,niliwahi kununua mzigo karibu wa nguo ujerumani badala kama week 2 website ikafungwa ikabidi niwasiliane na paypal week tu nikarudishiwa pesa yangu.ila kwa bongo bado sina uaminifu na😵nline inataka uzoefu sana usinunue hovyo hovyo tu.
Yale Majambio sijui manyeo ndiyo yalimchanganya.Hivi kwanini asiende dukani, anunue kwa mtu asiyemfahamu?
Hapa umenena, inaelekea alitaka kuweka ukaribu then agongee mzigoYale Majambio sijui manyeo ndiyo yalimchanganya.
Kioo hakidanganyiHakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.
Labda online kwa trusted sources.
Hahasalome amepodokaaaa podoKioo hakidanganyi
Ndio maana ukitaka bei wanakuambia njoo inbox kumbe wanawakwepa wenye ufahamuHizo Adidas kama ni genuine articles sidhani kama zinaweza kuuzwa hiyo bei..