Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Ungefany cash on delivery mkuu....
mkuu ndo nini maana kuna mwingine yupo dar anataka mzigo nashindwa kumtumia kila nikikumbuka yale simwamini mtu japo yeye anasisitiza kuwa ni mwema atanitumia pesa akipata mzigo
View attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.

Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania

Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa

"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"

Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,

Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi

Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika
 
KAMUGISHA
KUNA JAMAA WANAJIITA WEUSI
WAMEWEKA LEBOL YAKINAMAKINI KABISA
NAOO WANATANGAZA WANAUZA NGUO VYATU

NIKUWAOGOPA KAMA UKOMA
 
mkuu ndo nini maana kuna mwingine yupo dar anataka mzigo nashindwa kumtumia kila nikikumbuka yale simwamini mtu japo yeye anasisitiza kuwa ni mwema atanitumia pesa akipata mzigo
Cash on delivery ni ile mzigo ukmfkia mtu akauona anakutumia tgo pesa au mpesa ndo unaachia anapewa kwan ww uko dar au mkoan
 
Mie mwenyewe aliniingilia inbox akataka kunitapeli anasema nimtumie 80, 000/= ataniletea raba kwa fast jet yeye yupo arusha.
hahahaaaa basiiii atakuwaaa n huyuhuyuu anatumiaa leboo ya weusii maaana alimwomba mdogowanguu nambaa akamwambiaa anamleteaa viatu mwanzaa lohh yukooarushaa
 
irnga ndipo nilipo
Hapo sasa ni shida nlidhan mteja wako yuko dar na wewe uko dar. Kama una mtu dar utume kwa huyo mtu halafu huyo mtu ndo ampelekee akiufkisha tu na yeye akurushie pesa yako na wewe ndipo uondoke
 
Umakini unahitajika watumiaji wa mitandao , asante mtoa taarifa
 
Nachukua nafasi hii kuwashukuru wana JF wawili ambao nilifanya nao biashara this and last year. Mmoja aliniuzia dip freezer na mwingine fridge yenye dip freezer. Bado vinafanya kazi ingawa vinakula umeme sana haiwahusu. Niliwatumia pesa na hatujawahi onana na walinipa mzigo bila matatizo na mizigo yenyewe ni mizuri. Nasema hivi kuwapa moyo kuwa within JF hakuna utapeli sababu mtu labda aache kuingia humu na hata akiacha kuna watu watakuwa wanamfahamu roho itamsuta. Nje ya hapo sijajaribu. Nawakilisha.
 
Hahahaha umenchekesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom