Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Mmmnh siku hizi JF, ni mwendo wa kutumbuana majipu tu, hahaaa
 
Hujui uliongealo, watu wanatapeliwa nyumba! Tema mate chini hayajakukuta wewe! Haya mambo hayamkuti mbuzi yanamkuta mtu kama wewe
Unaweza kutapeliwa lkn kijanja usilaumiwe,lkn cyo mtu hamjuani unamtumia pesa na bidhaa hujaikagua ni uboya

Yani huna ofisi ,website na wala siyo kampuni unapataje ujasiri kumtumia mtu usiyemjua ..
 
Invisible na Mod Mod 2 naomba hii msg muifikishe TCRA maana akinyamaziwa atawaibia wengi huyu dada
Pole sana mkuu, naona Mhaya umeumizwa. Ulipoona yale majambio pichani ukaona uanze kujisogeza taratibu kwa kujifanya unamuungisha ili aingie kingi.
Ha ha haaaa...biashara za mtandaoni nenda amazon mkuu
 
Hawa wachache hufanya business online siziaminike Ila yataka moyo kutuma hela Kwa mtu humfaham pole kupotea njia ndio kujua njia
 
Unaweza kutapeliwa lkn kijanja usilaumiwe,lkn cyo mtu hamjuani unamtumia pesa na bidhaa hujaikagua ni uboya

Yani huna ofisi ,website na wala siyo kampuni unapataje ujasiri kumtumia mtu usiyemjua ..

Aina shida bora yako ambae siyo boya, ila nina uhakika ulishawai tapeliwa zaidi ya hii
 
Invisible na Mod Mod 2 naomba hii msg muifikishe TCRA maana akinyamaziwa atawaibia wengi huyu dada

Mkuu ni hili hili tu au labda ulimwomba ' mbunye ' na ' akakutosa ' na sasa umemchenjia umeamua kumchafua? Hivi kwa mfano huo ' ushahidi ' wako wote ungeupeleka kwanza TCRA au Police ' kitengo ' maalum unadhani usingepata msaada mkubwa zaidi kuliko wa huku? Binafsi nahisi kama vile kuna lililojificha nyuma ya hili kwani naamini kama ni ' Matapeli ' au ' Wezi ' wa aina hii wapo wengi sana katika maeneo mbalimbali na wanajulikana tena hata kuliko huyo Dada wa Watu. Watanzania tumeshazoea ' kuibiwa ' Mkuu na tumeshaibiwa miaka 50+ iliyopita hivyo hatujaona ' jipya ' hapo. Na mwisho nikuambie tu kuwa unaweza ukadhani kuwa labda umemkomoa kwa kumchafua ila nikuhakikishie tu kuwa umempa ' promo ' ya kufa Mtu na atapata sasa ' Wateja ' wengi mno. Kwanza ana mvuto na ni mzuri hivyo hata akikuibia unaona sawa tu!
 
Pole mkuu....nakumbuka weeks kadhaa uliletwa uzi hapa member mmoja ametapeliwa chapaa ametuma akiahidiwa atatumiwa TV. Ushauri ulitolewa usinunue bidhaa mtandaoni bila kujirishisha. Mkuu wewe kwanini ulikurupuka? Hiyo raba uliiona nzuri sana ukashindwa kung'amua utapeli mwingi kwenye mitandao? Sasa utakuwa umetia akili hutofanya tena kosa kama hili.
 
ulipagawa na mapicha picha yake fb. Hayo ndo malipo yako. Eti unaambiwa mzigo utatumwa fastjet. Yaan pair moja na fstjt!! Sema kuna kitu ulikuwa unakitafuta kwake ila siyo kufanya nae biashara
 
Mkuu ni hili hili tu au labda ulimwomba ' mbunye ' na ' akakutosa ' na sasa umemchenjia umeamua kumchafua? Hivi kwa mfano huo ' ushahidi ' wako wote ungeupeleka kwanza TCRA au Police ' kitengo ' maalum unadhani usingepata msaada mkubwa zaidi kuliko wa huku? Binafsi nahisi kama vile kuna lililojificha nyuma ya hili kwani naamini kama ni ' Matapeli ' au ' Wezi ' wa aina hii wapo wengi sana katika maeneo mbalimbali na wanajulikana tena hata kuliko huyo Dada wa Watu. Watanzania tumeshazoea ' kuibiwa ' Mkuu na tumeshaibiwa miaka 50+ iliyopita hivyo hatujaona ' jipya ' hapo. Na mwisho nikuambie tu kuwa unaweza ukadhani kuwa labda umemkomoa kwa kumchafua ila nikuhakikishie tu kuwa umempa ' promo ' ya kufa Mtu na atapata sasa ' Wateja ' wengi mno. Kwanza ana mvuto na ni mzuri hivyo hata akikuibia unaona sawa tu!

Soma vzr msg zote nilizo attach mkubwa, usiwaze tofauti mimi nilimind kiatu tu
 
Kitu kigumu kwenye kichwa changu ni kufanya biashara mitandaoni yaani huwa sithubutu kabisa! Pole sana mkuu muhimu tuwe makini[emoji33]
 
ulipagawa na mapicha picha yake fb. Hayo ndo malipo yako. Eti unaambiwa mzigo utatumwa fastjet. Yaan pair moja na fstjt!! Sema kuna kitu ulikuwa unakitafuta kwake ila siyo kufanya nae biashara

Hacha kukurupuka angalia msg nilizo attach mkubwa, usidhani wote tuna akili kama zako
 
Nimeshaifaham njia kwa sasa, tuanawajuza wengine ambao walikuwa hawajui

Aisee wewe si mzawa wa Arusha, watu wa A-city hawawezi tapeliwa kijinga hivyo. Pole sana Ngoja nisambaze kwa wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom