Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.
Nashangaa mtu na ujanja wote na kuonywa kote bado unanunua mbuzi kwenye gunia,hata mimi kuna jamaa anauza bidhaa zake kwa njia za mtandao akajifanye nitume hela ndio anitumie mzigo nikamkatalia nikamwambia nataka ana kwa ana ,akabaki oh huniamini unadhani mimi nitakutepeli hiyo hela oh mimi nina duka kubwa na watu wengi nawatumia mzigo nikamwambia kaka mimi ninachotaka lete mzigo nithaminishe nakupa cash au wewe tuma mzigo kwanza halafu nikutumie hela ,huo ndio ukawa mwisho,kifupi biashara za mtandaoni zimeingia luba
 
Bidhaa hizo zimejaa madukani sana usawa huu sio wa kutumiana raba kwenye fast jet jamani . Pole sana ila hizo vitu ni so cheap and fake hardly sh elf35 ukipigwa sana na machinga huku umeshika mkononi hadi anakufungia mzigo umetoa elfu28.

Pole sana. Asante kutujulisha ila sidhani kama polisi na TCRA watamtafuta kwa ujumbe wako wa humu JF maana na wao wanatoa tahadhari kila siku za kufanya miamala hii ya hatari hatari. Maumivu ya 75elfu wakatu huu ni sawa na umeibiwa milion7 na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mkuu, naona Mhaya umeumizwa. Ulipoona yale majambio pichani ukaona uanze kujisogeza taratibu kwa kujifanya unamuungisha ili aingie kingi.
Ha ha haaaa...biashara za mtandaoni nenda amazon mkuu
Kuitwa my tu kajilegeeeza!!!kafungua mtonyo watu wamepiga.mjini shule karibu SNA dar slum aisee
 
Bidhaa hizo zimejaa madukani sana usawa huu sio wa kutumiana raba kwenye fast jet jamani . Pole sana ila hizo vitu ni so cheap and fake hardly sh elf35 ukipigwa sana na machinga huku umeshika mkononi hadi anakufungia mzigo umetoa elfu28.

Pole sana. Asante kutujulisha ila sidhani kama polisi na TCRA watamtafuta kwa ujumbe wako wa humu JF maana na wao wanatoa tahadhari kila siku za kufanya miamala hii ya hatari hatari. Maumivu ya 75elfu wakatu huu ni sawa na umeibiwa milion7 na nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hujui hapa jamii forums ni source of information
 
mbona majina ya monica wanakuwaga watulivu, kwani huyu vepeee??
 
Jaman msiwe mnamkatisha mtu tamaa.jamaa ametoa taarifa za utapeli wa uyo dada nyie mnamsema ujinga wake siku utayokuja ibiwa wewe ndo utaelewa dunia inazunguka kutokea upande gani
 
Ndo tushilikiane kutoa taarifa km vyombo vya dola akamatwe akapumzike stoo ya mafunzo
 
Duuuu---mi binafsi huwa sipendi kununua vitu online koz kila mtu ana aina yake ya MAISHA na wengine sio wafanya biashara huwa wanapiga picha tu kwenye maduka ya WATU. TRUST NO ONE
 
Sema ivo ivo mjini shule na wewe utatusaidia kumkamata uyo mwalifu maana unaonekana unamtetea mwalifu
 
Pole sana mkuu, naona Mhaya umeumizwa. Ulipoona yale majambio pichani ukaona uanze kujisogeza taratibu kwa kujifanya unamuungisha ili aingie kingi.
Ha ha haaaa...biashara za mtandaoni nenda amazon mkuu
Kazi kwelikweli...
View attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.

Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania

Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa

"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"

Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,

Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi

Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hebu ngoja nichukue namba za Monica za Whatsapp wakati wewe unalalamika umetapeliwa mimi nimeona fursa nyigine hapo kwenye picha yake aliyokaa

Ila pole mkuu ndio maisha
kwa uandishi wake hiyo University of Dar es Salaam atakuwa amesomea ya Mkuranga kama ipo sio Mlimani tunayoijua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] acha tutumie fursa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom