Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Jaman na sie tunaopeleka bidhaa then jamaa anapokea mzigo halafu hatak kutuma pesa sijui inakuaje?
mi mwaka jana kuna jamaa alitaka nimpe kuku 200 mwenye thaman ya milioni mbili,nikamwambia atume pesa akajibu agiza kuku mi nikiwapata tu natuma hela,.dah baada ya kuwaagiza akapokea tatizo kwenye kulipa sasa yaan mpaka saiz ni zaid ya miez 14 full chenga na mara hapokei simu,.biashara ya mtandao ina changamoto nying sana.
Ungefany cash on delivery mkuu....
 
Mkuu weka ubani waislam wasome Al Fatiha elfu 75 ndiyo gharama ya mahari hapo. Binti kashachagua mahari yake ni 75 tu hataki zaidi.
 
Facebook anajiita Aysha Juma
Ni tapeli sana tena sana
Anavizia sana wanaume facebook kuwatapeli
Khaaaa[emoji15] [emoji15] !!! Jina La Tatu...Basi Monica Vicky Aysha Nimekunyooshea Mikono![emoji119]
 
45fcea125120fd1496b1694ae6549ce1.jpg
 
Mi nashangaa mtu mwenye akili timamu anapotapeliwa mtandaoni na mtu binafsi na si kampuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom