Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Inji hii Bwana!
Only in TZD
Only in TZD
Watanzania sisi ni shida tu. Hivi tcra watafanya kazi hii bila kuwa serious allegations?
Nashauri fanya hivi:-
1. Fungua kesi polisi. Perhaps Wizi kwa njia ya mtandao.
2. Fuatilia kesi yako na ushahidi wowote ulionao utoe kwa polisi.
3. Polisi itawasiliana na makampuni ya simu/tcra ili kumsaka akajibu tuhuma zake.
4. Akisha kamatwa uwe tayari kumtolea ushahidi mahakamani.
Athari ya ombi lako kumshtaki huyu kwa tcra, hata kama watalifanyia kazi, hatopelekwa mahakamani kwa uelewa wangu. Labda watazizuia simu hizo lkn mtu huyo atatafta line nyingine kuendeleza utapeli wake.
KUWASAIDIA ZAIDI
JINA LINGINE ANATUMIA FB VICKY
JINA LINGINE FB ANATUMIA
VICKY DAUDY
MSHINDWE WENYEWE
hahahaha! nauli ya MZIGO.ahahaa huwa mnatuma nauli za nini jamani? nitumie nitakuja
mbona wewe ulitaka kununua ile kitu.......... au ulishtuka ukanikimbia hahahaHivi kwanini asiende dukani, anunue kwa mtu asiyemfahamu?
hahahaha! Mwigulu Nchemba ashughulikie tatizo hili? utasubiri sana. lingekuwa suala la"UCHOCHEZI" lingeshughulikiwa haraka sana.Mkuu nimewaza sana kwa polisi wetu na TCRA wetu ni umiza kichwa utajikuta unaingia hasara mara mia, ndugu zetu watataka chochote hata kabla hawajaanza kazi! Na unaweza usisaidiwe kwa lolote, mh waziri Mwigulu Nchemba bado ana kazi ya ziada mpaka tuendelee kuwaamini hawa jamaa. Maana naweza juta zaidi kwa kujiongezea gharama, mh Mwigulu Nchemba nimeshampatia data za kutosha hope atatumia vijana wake kuweza kumkamata na atatutangazia hapa hapa. Naiamini hii serikali inafanyia kazi kila taarifa inayotolewa hapa jf Mwigulu Nchemba
Awapiiiiii!!!!!Ha ha ha mtafute nishakupatia na namba zake za simu
hahahaha! Mwigulu Nchemba ashughulikie tatizo hili? utasubiri sana. lingekuwa suala la"UCHOCHEZI" lingeshughulikiwa haraka sana.
Awapiiiiii!!!!!
huwa hawashughulikii masuala nyeti zaidi ya UCHOCHEZI.Kwanini huna imani nae mkubwa, mimi naamini atalishughurikia mh Mwigulu Nchemba
huwa hawashughulikii masuala nyeti zaidi ya UCHOCHEZI.
Na hizo lugha zao za my.....my.....my zinakera kwel
Jaman na sie tunaopeleka bidhaa then jamaa anapokea mzigo halafu hatak kutuma pesa sijui inakuaje?ebay, alibaba, na website nyingine uwa unakagua?
Watanzania matapeli matapeli wanaharibu biashara ya mtandao kwa kutotuma mizigo ya watu au anakupa details za uongo otherwise ni biashara nzuri
Hapana, wewe nakwamini, mhusika alifanya maamuzi mengine, kwa upande wangu nilitimizambona wewe ulitaka kununua ile kitu.......... au ulishtuka ukanikimbia hahaha
MKAKA: Hi uwapi swity?
MDADA: Niko home
MKAKA: Unafanya nini?
MDADA: Nakula
MKAKA: Unakula nini?
MDADA: Mama katengeneza macaroni,
ambayo kanyunyizia chiizi na sausage fulani imported ambazo baba amenunua supermaketi Masaki, na saladi, kisha ntateremsha na Epo juisi,
ghafla ikasikika sauti ya mama yake
MAMA: Hivi we Gulo kaka yako atakula nini na we umemaliza ugali na maharage yote?[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13]
Wewe unaona ni nani hasa, mm nimeongea nae kama vp nawe mpigie kwa hizo namba
santerHapana, wewe nakwamini, mhusika alifanya maamuzi mengine, kwa upande wangu nilitimiza