Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Watanzania sisi ni shida tu. Hivi tcra watafanya kazi hii bila kuwa serious allegations?

Nashauri fanya hivi:-

1. Fungua kesi polisi. Perhaps Wizi kwa njia ya mtandao.
2. Fuatilia kesi yako na ushahidi wowote ulionao utoe kwa polisi.
3. Polisi itawasiliana na makampuni ya simu/tcra ili kumsaka akajibu tuhuma zake.
4. Akisha kamatwa uwe tayari kumtolea ushahidi mahakamani.

Athari ya ombi lako kumshtaki huyu kwa tcra, hata kama watalifanyia kazi, hatopelekwa mahakamani kwa uelewa wangu. Labda watazizuia simu hizo lkn mtu huyo atatafta line nyingine kuendeleza utapeli wake.
 
Mwelezee eli watutumeona engine za a5 kwenyepicha gariimekuja NA engine za d4 Allah
 
Mkuu pole sana, huyu ni dada ni tapeli wa siku nyingi, hiyo biashara ya mtandaoni kama sijakosea ameianza mwaka jana mwishoni. Aliwahi kuniadd FB na akanipa number yake ya simu akaniambia yuko Arusha ametokea nje ya Nchi, na amekwama shangazi yake anaumwa anahitaji pesa, wakati huo ni kama anajitongozesha kwangu. Akaniambia cards zake za Banks alizisahau Dar na wakati anaenda nje ya nchi ila ana card moja tu ya Bank of Africa(BOA) alisahau kwamba BOA wana branch Arusha!! Wakati huo niko mkoa fulani hivi!! mara akaniambia nimtumie nauli aje anione!! ila nilikuwa nimeshamstukia. Kiufupi aliwatapeli washikaji zangu wawili hela!!
 
Hakika Mungu katutofautisha sana. Sijui mnapataga wapi Ujasiri wa Kutuma fedha bila kupata Mzigo. Sijajua kwa kweli mtu unaanzaje.

Labda online kwa trusted sources.

Mbele kwa wenzetu inawezekana ila kwa njaa za wabongo walio wengi kulizwa ni nje nje.
 
Eti tuma pesa nikutumie bidhaa yako!on line business !!kudadeki watu wanahela zakuchezea kweli Yani!!!!
 
Kuna watu wanastaajabisha sana. Dunia hii ilivyo ndogo
 
upload_2016-11-21_11-14-23.png

Urembo na uandishi wake mbingu na ardhi.
upload_2016-11-21_11-15-49.png

Facebook hadi dada wangu wa kazi inaonyesha kasoma UDSM ..teh teh
 
Alikuwa ana maanisha anauza bizaa sio bidhaa Jamaa hakuelewa,mtafute inbox atakuuzia,watu hao wapo hata badoo tuma nauli nije ukituma ishakula kwako.
 
Nadhani nyie watu wa online business mngejaribu kujirasimisha (kama ipo body), ili kuwapa authenticity na kuaminiwa kirahisi na wateja.

Kwa kweli kwa Tanzania yetu nitakuwa wa mwisho kuamini biashara za mitandaoni, najua wapo watu genuine, lakini wapigaji wapo wengi pia.
Mimi nafanya biashara ki kawaida ila nina matangazo online kwahio napata wateja wa mbali. Uaminifu ni kitu muhimu sana, ukimfanyia mtu mmoja biashara nzuri anakuletea wateja wengi sana. Mtu kuiba 75,000/- ni kutokuangalia mbali maana anapoteza wateja wengi.
 
Hahahaaa umenikumbusha.
Miye aliniomba urafiki Fb kisha tukachati for about two weeks kisha baadaye alichukua namba yangu Fb akanipigia zaidi ya mara mbili simu akiniambia kuwa Amekwama bandarin hapa Zanzibar baada yakuchukua Mzigo hivyo anadaiwa kodi kwahiyo anaomba nimtumiye sh 30,000 akomboe mzigo wake akifika Dar hapa Bandarin atanipigia simu tukutane hapo then aniuzie Kiatu hata kwa Hasara tuu.

Nikamwambia sorry kwahivisasa nipo Mwanza, akaniambia huna mtu aje akuchukulie viatu nikamwambia sina Mtu.

Dah! Akanifyonza bhana kwenye simu kisha akakata simu...

JAMANI WADAU KUWENI MAKIN NCHI ISHAOZA HII WAPIGA DILI/MATAPELI WAPO WENGI SANA..
 
Pole kumbe ulishakumbana nae! Wengine wanahisi maka maigizo hivi au nawadanganya
 
Watu wengine ni mazuz.u mkuu hachana nao

Mkuu huwezi kupingana na nature
Wanaume ndio huwekewa mitego na watu wengi wakijifanya ni wadada ilihali wao pia ni wanaume
Lawama zinaenda kwa wadada kumbe wao wanatumika kama chambo tu
Nina hakika huyo dada mwenye picha hajui kama picha zake zinatumika kiutapeli
 
Mimi nafanya biashara ki kawaida ila nina matangazo online kwahio napata wateja wa mbali. Uaminifu ni kitu muhimu sana, ukimfanyia mtu mmoja biashara nzuri anakuletea wateja wengi sana. Mtu kuiba 75,000/- ni kutokuangalia mbali maana anapoteza wateja wengi.
Endelea na moyo huohuo Ndugu. Utashangaa biashara yako ikikua kama Amazon au EBay au Alibaba.
 
KUWASAIDIA ZAIDI

JINA LINGINE ANATUMIA FB VICKY
Mkuu pole sana, huyu ni dada ni tapeli wa siku nyingi, hiyo biashara ya mtandaoni kama sijakosea ameianza mwaka jana mwishoni. Aliwahi kuniadd FB na akanipa number yake ya simu akaniambia yuko Arusha ametokea nje ya Nchi, na amekwama shangazi yake anaumwa anahitaji pesa, wakati huo ni kama anajitongozesha kwangu. Akaniambia cards zake za Banks alizisahau Dar na wakati anaenda nje ya nchi ila ana card moja tu ya Bank of Africa(BOA) alisahau kwamba BOA wana branch Arusha!! Wakati huo niko mkoa fulani hivi!! mara akaniambia nimtumie nauli aje anione!! ila nilikuwa nimeshamstukia. Kiufupi aliwatapeli washikaji zangu wawili hela!!
JINA LINGINE FB ANATUMIA

VICKY DAUDY

MSHINDWE WENYEWE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom