Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Mkuu nimewatumia mademu wengi sana nauli na hawajatia mguu lakini hii kesi yako inanipa ukakasi kidogo. Utalipiaje mzigo kabla ya kuona ubora wake? Hv viatu au nguo ni bidhaa adimu sana hata uagize kutoka mbali na kulipia kwa MPESA? Kutapeliwa huku liwe fundisho kwako.

Unaçhekesha kweli wewe ulikuwa umeshaona ubora wao? Mbona hawakuja? Mkuu mchezo huu hauitaji asira
 
Mkuu nimewatumia mademu wengi sana nauli na hawajatia mguu lakini hii kesi yako inanipa ukakasi kidogo. Utalipiaje mzigo kabla ya kuona ubora wake? Hv viatu au nguo ni bidhaa adimu sana hata uagize kutoka mbali na kulipia kwa MPESA? Kutapeliwa huku liwe fundisho kwako.
ahahaa huwa mnatuma nauli za nini jamani? nitumie nitakuja
 
Na kwanini mtu usilipe wakati unapokea mzigo?
Mara chache nimeshakutana na mtu mmoja ilikua ni biashara ya 1.4M. Akanirushua 1M in advance ili nisiuze mzigo aisee nilishangaa sana. Nikamtahadharisha next time asifanye vile at least mimi niwe wa mwisho hata kama mzigo ameupata kwa promotional price.. Uzuri hakua mtanzania bali ana asili ya india na alikua mbeya.
 
Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe.
Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.

Mkuu yaelekea concept ya online business au online purchases huielewi...hii sio direct sales,ni mode tofauti kabisa,ndio maana kuna return policy and buyer protection program mzee...

Hebu piga msuli wa hii concept ndio ulete sera ya ajabu ya "kukagua mzigo"...
 
Lazimauwe NA akili kamaza mavugoo kuwatapeli viongozi wa matopeni
 
a6aa78f8338567699244fca470d4b805.jpg
Ni Mzuri, Kama Ni Yeye Nimpe Tuu Mtaji Aache Utapel Nioe[emoji28] [emoji28] Besides Polee Sanaa Mkuu Huyu Monica Huyu Lol!!
 
cash on delivery ndo mpango mzima hao wa kutuma kwanza wapigaji tu
 
nikusaidieee ukionaaaa fb wanajiitaaa weusii wanaprofile ya kinajomakini kabisa nawanatangaza wako arusha wanatuma kwafjet kimbia mt 200kama umetokapiga kurawakowengi
 
View attachment 437042 View attachment 437041 View attachment 437039 View attachment 437037 View attachment 437036 View attachment 437033 View attachment 437032 View attachment 437030 View attachment 437026 View attachment 437025 View attachment 437044 Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua namba zifuatazo 0768686446, kwa Tigo anatumia namba 0656494270 na kwa whatsapp anatumia namba +254 727371790.

Huu ujumbe usambaze kwa watu mbalimbali wawe makini na huyu dada, ujumbe na picha zake zisambazeni katika magroup mbalimbali na alipotiwe TCRA Tanzania

Naweka msg ya malipo aliyolipwa bila kutuma viatu alivyoagizwa mpaka sasa

"3KA8B77X32 Imethibitishwa. Tsh75,000.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 0656494270 tarehe 10/11/16 saa 2:36 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh"

Naambatanisha na picha zake pamoja na bidhaa anazouza kwenye mtandao huu,

Pia naweka mawasiliano aliyokuwa akiyafanya hapo chini akidai keshatuma mzigo wakati si kweli, Tcra Tanzania na Tanzania Tcra kwa kutumia hizo namba za huyu Monica michael atafutwe kabla hajatapeli watu wengi zaidi

Invisible naomba kama mtataka ushaidi nauweka kwa huyu tapeli pia huu ujumbe na namba zake mnisaidie kuzipeleka TCRA kwa atua zaidi kwa huyu mtu, nami nipo tayari kutoa msaada utakao itajika
Tcra sijui wako wapi huyu dada kashatapeli watu wengi sana aiseeee
 
Maneno yako sio mazuri. Tunafanya biashara za mamilioni bila kuonana na pande zote mbili zinaridhika.
Nadhani nyie watu wa online business mngejaribu kujirasimisha (kama ipo body), ili kuwapa authenticity na kuaminiwa kirahisi na wateja.

Kwa kweli kwa Tanzania yetu nitakuwa wa mwisho kuamini biashara za mitandaoni, najua wapo watu genuine, lakini wapigaji wapo wengi pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom